sex before marrige


Sasa mbona umebadili msimamo ghafla?!

Kwenye mada yako si umeshauri kina dada wasitest kabla ya ndoa?!
 
Think ingekua rahc kama kungekua hakuna ugal&boy frn na wanaume wangekua wanaoa mapema co mpk wasubiri 30's yrs
 
Sasa ww owa alfu ukute mke ni shemale ndio atakufunza adabu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 


Kuna yalokusibu ww si bure
 
ni dhambi kabla ya ndoa ila ndani ya ndoa haaaa ruksa na MUNGU katoa baraka zake zote.

hii kitu iko very complicated, ni jambo gani jingine ambalo ni dhambi kabla ya ndoa? why sex only?
 
marriage before sex ilikuwa zamani sana enzi hizo unachaguliwa mke wa kuowa,sasa hivi ni sex before marriage uhuru wa kuchagua...
 
wewe ni mtu wa maana sana kwa kweli nimefurahishwa na hii uzi wako
vilevile kuongezea hapo unajihatarishia usalama wako wa maisha pindi unapotaka kuolewakwani ushado sana

halafu heshima na ulimbwende wa usichana wako unapotea kabisa na unakuwa una thamani ya kuwa binti

 

Hili ulilosema unalifata/ulilifata?
 
asilimia 76 ya akili ya mtoto anarithi kwa mama yake kama mama anatabia za ajabu ajabu ujue na watoto wake watakua hivyo hivyo
asante kwa kunielewesha ila kwa nn isiwe asilimia 71,,,,73,,,,,,78.9,,,,,,au hata asilimia 69.001?kuna vigezo gan vya kiasilimia haswa ikizingatiwa ni suala la uumbaji and there is a question of soul?
 


hivi wewe tinna cute hujui kuwa ndoa ni kuvumiliana na kufundishana kwenye mapungufu!!!!!
:A S 39:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…