Sex According to Your Astrology Sign

Sex According to Your Astrology Sign

si ndo hapoooooo!
yan hakyanani mi kaacha kuweka jina langu tu na exact tarehe!
kama sio kawahi kunila deo nn??
af maninest zake kaaangusha bomu af huyooo kaishia!!!
mfyuuuuum zako mleta mada!!

Kajua kuzua la kuzua halafu ye kacheza bila kukunja goti mdomdo!!!!!!!
Hivi kama kwenye affair kuna beef halafu hapa unakuta kuwa ni incompatible si ndio na juhudi za usuluhishi gudubai!!!!!!
 
Kajua kuzua la kuzua halafu ye kacheza bila kukunja goti mdomdo!!!!!!!
Hivi kama kwenye affair kuna beef halafu hapa unakuta kuwa ni incompatible si ndio na juhudi za usuluhishi gudubai!!!!!!
ahahahaah mi sijasoma hiyo sentenso ya mwisho!!
 
...mmmhhh...!!! aiseee...!!! 200% ukweli mtupu..Aquarius & Leo:A S 13::A S 13:
 
Ninavyokuambia kachafua mazingira we unadhani pafupi???!!!

ahahhaha e bana 9mm eh tulipe aseee
umefuruga furuga.kabisa medula zetu!!
mbaya zaid na for this the charges has to be very dearly!!
kwann haupo!!
kwann umetutenda hv halafu unatuacha tunagalauka wenyewe!!
damn yu!!
 
Last edited by a moderator:

Imagine kizungumkuti kama hiki at this age na ushawaambia watu wangapi birthdate yako???!!!!
Sasa ndio wanakuchorapo,utaona monday job majitu yanakuchekea for no gud reason kumbe wanakuimajinia unavyopiga lwangi syenzi kabisa!!!!!
 
unazid kunihasirisha!!
syenzi kama kidogo!
 
Back
Top Bottom