Seven things women always lie about

Kila kitu sawa.

Unaposikia hivo kutoka kwa mwanamke usidhanie ni kweli hayuko salama na kilakitu hakiko shwari hasa ukijua haikutakiwa kuwa hivyo.

No 2

Teh
 
Kila kitu sawa.

Unaposikia hivo kutoka kwa mwanamke usidhanie ni kweli hayuko salama na kilakitu hakiko shwari hasa ukijua haikutakiwa kuwa hivyo.

No 2

Teh
Kama mm tu kweli kabisa
 
Ilitokea siku moja tuko Buguruni jamaa kakutana na binti walisoma high school huko mikoani sasa jamaa akataka wakakae sehemu waongee .Akamuuliza binti wewe si mwenyeji huku wapi karibu kuna guest house binti akasema hajui.
Ikabidi awaulize wahudumu wakamwelekeza jirani kuna guest house.Kitu cha ajabu walipofika alitoka kidogo kurudi akakuta ameletewa kinywaji cha moto badala ya baridi.kukatokea mzozo basi yule binti anawajua wale wahudumu kwa majina.
 
Hahahaaa. Uongo una gharama sana. Kwahiyo ikajulikana lile eneo yeye ni mwenyeji kabisa.
 
Haaa haaaa!
 
Haaa haaaa! Viwanja vyake hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…