Set off deal of a plot against a house | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Set off deal of a plot against a house

Discussion in 'Matangazo madogo' started by ramson34, May 30, 2012.

 1. r

  ramson34 Senior Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wadau nina deal ya kubadilishana kiwanja nyumba.mimi nina kiwanja with clean tittle deed of 99 years 700 sqm kipo bunju a, just short distance from bagamoyo main road.kipo kwenye kona kwa hiyo kinafaa kibiashara has kwa kujenga frames na nyumba standard ya kuishi.
  Ninahitaji kubadilishana na mtu mwenye nyumba ambayo ni ready built na mtu anaweza kuhamia na kuishi moja kwa moja kwa makubalianao kwamba nitamuongezea pesa juu kadri ya makubaliano yatakavyokuwa.nyumba siyo lazima iwe kubwa sana ikiwa ina vyumba 3, inafikika vizuri kwa gari na kama haina fence but in space amabayo mimi mwenyewe naweza kujenga fence at least kupata space ya kupaki magari madogo 2.

  Kama kuna mtu ana clean mwenye clean deal naomba ani pm.

  Nawatakia usiku mwema.
   
Loading...