Jana nimenunua umeme wa elfu nane kutumia tigo.( Vodacom kama kawaida walikua hawatoi huduma kwa muda ule ilibidi nitumie Tigo) Nilipata unit 3.50 na zilitosha mpaka asubuhi ya leo.Ina maana walikata Tshs 6500 kama service charge. leo asubuhi nimetumia laini ya Vodacom kununua umeme. Nilinunua wa 20,000 lakini nikapewa umeme wa Tshs 16,395.00 kwa maana kwamba service charge ni zaidi ya Tshs 10,000 kwa mwezi.

Service charge haijapanda ila kuna tatizo kwenye Mitandao,malalamiko ni mengi. Chakufanya wapigie customer care uwaulize halafu tujuze.
Jana nimenunua umeme wa elfu nane kutumia tigo.( Vodacom kama kawaida walikua hawatoi huduma kwa muda ule ilibidi nitumie Tigo) Nilipata unit 3.50 na zilitosha mpaka asubuhi ya leo.Ina maana walikata Tshs 6500 kama service charge. leo asubuhi nimetumia laini ya Vodacom kununua umeme. Nilinunua wa 20,000 lakini nikapewa umeme wa Tshs 16,395.00 kwa maana kwamba service charge ni zaidi ya Tshs 10,000 kwa mwezi.
wako bize kutafuta chopa za kuruka wakati wa kampeniProblem watz kila kitu tunaona sawa tu,hao wanaotaka kwenda ikulu akina slaa na wengine mbona hilu hawalisemei?
Naona tunazunguana tu tz hamna mkweli hapa tz.
inauma sanaa kuwaondoa selcom ni migogoro ya kibiashara kwani jamaa walikuwa na mashine wireless mtandao ulikuwa full karibia muda wote sasa hawa Maxmalipo ni majanga mtandao wa antenaMtakubaliana nami kwamba hili ongezeko la service charge limekuja mara baada ya SIMBA CHA WENYE kuwaondoa SELCOM
sijui nae huyu anataka apige hela nzuri ili agombee uraisi ? Naona sasa ikulu imekua kama Kariakoo kila mtu anataka aingie kwa kigezo kwamba ameombwa na wananchi.
Mtakubaliana nami kwamba hili ongezeko la service charge limekuja mara baada ya SIMBA CHA WENYE kuwaondoa SELCOM
sijui nae huyu anataka apige hela nzuri ili agombee uraisi ? Naona sasa ikulu imekua kama Kariakoo kila mtu anataka aingie kwa kigezo kwamba ameombwa na wananchi.
Leo nimenunua umeme wa 60,000/- nikapewa Unit 146.50 ambayo ni sawa na umeme wa Tsh 43,660. Kwa maana kwamba service charge ni 16,340/- Jamani naomba ufafanuzi hapa maana huku ni kuuana huku tukihubiri Amani na Mshikamano.
Nachelea kusema nchi hii bila kutandikana. Bila VITA hatuwezi kuheshimiana. Watu wanafanya mambo ya kihuni wakijua watanzania ni mazezeta. Hatuwezi chukua hatua ngumu. Kama South Africa wamewatimua waafrika wenzao kwa kigezo cha kupokonywa ajira zao basi watanzania tuna kila sababu yakuwatimua hawa viongozi wahuni. Tuwatimue kwa mtutu wa bunduki na kuchoma Mali zao au tutumie ipasavyo sanduku la kura ifikapo October.
Tatizo la nchi yetu imeamua kutumia kile kitu kinachoitwa rule of the jungle, ambayo principle yake kubwa ni survival of the fittest.
mkuu ulikuwa hujui? kwamba tunalipa sh 6,500 kama service charge kwa mwezi? sasa unafikiria wakina ruge marila na singa singa watakula wapi? yaani hakuna wateja tunaokamuliwa kama watumia [luku]
Tayizo kubwa kwenye nchi yetu, watawala wameamua kutumia kile kitu kinachoitwa rule of the jungle, ambayo principle yake kubwa ni survival of the fittest.
Wakati masikini wa TZ anakamuliwa pesa hiyo ya shilingi
hapa tanesco wataibiwatu umeme mtanzania wa hali ya chini hataweza kumudu gharama hizi,sasa siku za nyuma ulikua unaweza kununua umeme wa sh 5,000 kila mwanzo wa mwezi unapata kama unit 1.6 lakini sasa hupati tena inakulazimu mtanzania wa hali ya chini ununue umeme wa sh 10,000 unapewa unit 9 sasa niambie watu wataacha kuliibia shirika?
serikali iliangalie jambo hili kwa makini waondokane na kuzalisha umeme kwa kutumia mafuta, wazalishe kwa kutumia ges au makaa ya mawe, ili mwananchi apate unafuu wa umeme kama zamani embufikiria kutoka 75 kwa unit mpaka 350 kwa unit 1 uhu ni mzigo mzito anaobebeshwa mwananchi,