D Darwin Nunez Member Joined Jun 12, 2022 Posts 89 Reaction score 212 Oct 29, 2022 #1 Sote tulishiriki, tukahesabiwa, sasa ni wakati wa kufahamu matokeo. Tarehe 31 Oktoba, 2022 Uwanja wa Jamhuri Dodoma. Nyote mnakaribishwa.
Sote tulishiriki, tukahesabiwa, sasa ni wakati wa kufahamu matokeo. Tarehe 31 Oktoba, 2022 Uwanja wa Jamhuri Dodoma. Nyote mnakaribishwa.
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,498 Reaction score 27,813 Oct 29, 2022 #2 M A T A P E L I T U
Brightfame JF-Expert Member Joined Sep 14, 2016 Posts 1,371 Reaction score 1,460 Oct 29, 2022 #3 Darwin Nunez said: Sote tulishiriki, tukahesabiwa, sasa ni wakati wa kufahamu matokeo. Tarehe 31 Oktoba, 2022 Uwanja wa Jamhuri Dodoma. Nyote mnakaribishwa. Click to expand... Ilikuwa zamani
Darwin Nunez said: Sote tulishiriki, tukahesabiwa, sasa ni wakati wa kufahamu matokeo. Tarehe 31 Oktoba, 2022 Uwanja wa Jamhuri Dodoma. Nyote mnakaribishwa. Click to expand... Ilikuwa zamani
mwandende JF-Expert Member Joined Feb 16, 2017 Posts 11,832 Reaction score 22,386 Oct 29, 2022 #4 Hivi hata matokeo ya sensa pia yanahitaji mkusanyiko wa watu? Hilo ni suala la kutamka hata dk 30 haziishi. Kweli Africa hatuthamini wakati. Time is money.
Hivi hata matokeo ya sensa pia yanahitaji mkusanyiko wa watu? Hilo ni suala la kutamka hata dk 30 haziishi. Kweli Africa hatuthamini wakati. Time is money.
Pakawa JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 8,227 Reaction score 14,195 Oct 29, 2022 #5 Mama yangu Anna ana jambo binafsi
Bengal JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 26,337 Reaction score 28,755 Oct 29, 2022 #6 fundi bishoo said: M A T A P E L I T U Click to expand... Huenda ukatangaziwa kufutwa kwa tpzo zote na kupungua gharama za Maisha,Sasa usikatae tu
fundi bishoo said: M A T A P E L I T U Click to expand... Huenda ukatangaziwa kufutwa kwa tpzo zote na kupungua gharama za Maisha,Sasa usikatae tu
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,618 Reaction score 36,525 Oct 29, 2022 #8 Binafsi sijahesabiwa.. hayo matokeo ni batili