Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
Sasa mkuu kwani tuko kwa camerun hapa aau california!!?
hahahahahaha kachanganya madawa msamehe bure
lakini tudokezeee unamsakia nini badiebey
Last edited by a moderator:
Sasa mkuu kwani tuko kwa camerun hapa aau california!!?
Wapendwa wana MMU
Mimi naiona JF chungu siku hizi bila badiebey yuko wapi?
Uzuri na ubaya wa JF hatujuani ukweli lakini kuna watu wengine we care about others kikwelii!
Moneystunna yuko wapi badiebey?
Nimemtumia PM hajajibu siku ya 4 sasa and am curious and worried!
Namba yake ya simu sina!
Anaemjua please mwambieni nyamgluu is hurting and worried!
my dear one Nyamgluu,
polehh sana jamani..wish u knew how much i wanted to write here back to you...nimeona hii post asubuhi,
Mimi sijambo mzima wa afya telee namshukuru Mungu,..how are you too dear?
My ID had sm issues,a ban actually,glad it's okay now..sikuweza ona PM,wala ku-comment...pia nilitingwa na shughuli kadhaa....
Naku-PM tuongee vizuri....
Am so happy,thanks for checking out and caring about me...nilijaribu sana kuku-contact sikuweza..anyway..js check ur PM
Daaaahhhh!!! Yani mngeniona nilivyofurahi wana MMU!
badiebey dear hadi kuna mtu kaona wivu hapa!
what happened hadi a sweet girl like you ukapewa ban?
Im delighted to here from you again for real!
PM it is!
ur hapiness my pleasure,
hahhaha,nani tena na wivu?wakuwachee ...si unajua tena humu JF watu na
lugha mbovu.siku1 me nipo zangu busy nacomment sehemu watu mara
wananrushia maneno,khah nkaona isiwe tabu,nkaenda nao sawa,ndo ban ikaja
hapo..anyway yashapita..