Mwenye mwongozo anisaidie....
bado mkuu..vipi uko interested?ila nishapata contacts na majina ya wahusika bado kufanya last move..
Umeisha ingia tayari!
Go and kill your mum,then come back here you join us.Mwenye mwongozo anisaidie....
u seriously need Jesus kakweli...yani uwe fremanson hahahahah kweli hizi ni nyakati za mwisho umensikitisha sana
jiunge na cc m, watakupa msaada zaidiMwenye mwongozo anisaidie....
for staters freemasonry ain't a religion(dhehebu) hapo umekoseathe priest, freemasonry is the culture freemasons follow. Mzee mwafrika, unaweza kutuambia kwa nini unataka kujiunga na dhehebu hilo? Unajua kwa hakika ni maadili gani freemasons hutetea? Nimeona documentary kuhusu freemasonry ambayo imenifundisha kwamba kujiunga na hili dhehebu si rahisi. Utahitaji subira na uvumilivu nyingi kwani ni mchakato mrefu. Utaulizwa maswali nyingi pia kwa freemasons kabla ya kupokewa kama new member kwani they'll want to make sure they can trust you. Ni lazima pia umepita umri wa 18. And that's pretty much all i know...be careful with sects and the like though! It can be extremely dangerous if you don't know what your doing.
<br />frustations kivipi dada?unapoongea una-reflect maisha yako kwa hiyo kuwa mwangalifu!!!unafahamu lolote kuhusu freemasonry?unawafahamu freemasons?Kama huna la kuchangia kaa kimya dada yangu....
Mwenye mwongozo anisaidie....
Mwenye mwongozo anisaidie....