klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,648
- 5,140
Ndo maana mimi hao Hashy,sijui Finest na Uporoto nitawasiliana nao kupitia JF tu,zaidi sitaki,manake hawashindwi nialika mitaa ya kwao nikafia huko kwa pollution...mmmmhh
Tuendelee kupeta tu na LOAN letu la World Bank,hela tamu jamani....eace:
halaf kuna mmoja katika hao ni mganga wa kienyeji lakini kwakuwa sheria za JF haziruhusu job calling acha niuchune tu.