hooligan01
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 664
- 540
Kaniuliza dawa ya mswaki inauzwa wapi?? Mi nimeshindwa kumjibu... mwenye kujua basi... tumsaidie ndugu yangu hapa
ungemjibu kwa wamasai
kisa wamasai ndo wanaouza dawa unafikiri hata ya mswaki wanayo?
labda wanazo. kwani we mmasai?
hamna me msambaa
hamna me msambaa
kumbe wa tanga. waja leo waondoka leo
tanga rahaaaaaaaaaa....!!!
..shehiza! Mi maasai bhana nasema mi maasai..
kuna rahaa zipi huko?
kila kitu unachokifikiria huku kipo
nitakuja huko nione hizo raha za tanga
karb
utaweza kustahimili baridi?