Serious man needed baadae awe mume

Changamkieni fursa jamani!!!!inasemekana kuwa mke mwema ni yule aliyeachana na mume wake!!!!!si anatoka kwa bwana!!!!!
 
ninaheshimu sana vigezo vyako lakini pia ninaheshimu zaidi vigezo vyangu.

Kigezo changu kimoja ni mtu awe member kwa zaidi ya mwaka mmoja.
Hivyo,
Nimeanza kukufuatilia (na kuomba dua ubaki single) mpaka mwakani...kama dua yangu itakuwa imesikizwa basi mwenyewe bila kulazimishwa wala kuona soni nitajisogeza PM kwako.

Kwa sasa endelea kuchangia majukwaa mengine tafadhali.

Mpendwa wa siku za mbeleni,
Mentor.

CC; RRONDO - naamini nimefanya chaguo lililo bora bro!
Loooh
 
Habari zenu wote.. Ikiwa imetimia mwaka mmoja bila kuwa na mahusiano tangu niachane na mwanaume ambae nilimfumania na rafiki yangu na kupelekea kuachana nimeamua sasa kuingia rasmi kwenye relationship na mwanaume naemuhitaji kwanza;
1.Awe mchamungu
2.awe mpole kiasi
3.awe tayari kupima
4.awe na elimu ya juu kidogo kuliko maana mm Nina diploma
5. Mrefu kiasi mweupe kiasi au maji ya kunde asiwe mweusi sana
6. Awe anajielewa Mwenye future, vision na awe na Kazi inayomwingizia kipato
7. Miaka 28-35
8. Awe tayari kutofanya mapenzi mpaka tufunge ndoa au mpaka nitakapojiridhisha kwamba yeah he deserves to be my future hubby.
Mwisho wa yote awe na mapenzi ya dhati na ambae atajifanya analeta janjajanja asijisumbue Kabisa ..
Sifa zangu mom
1. Maji ya kunde
2. Elimu diploma
3. Nimeajiliwa
4. Dini muislam

Pm kwa maelezo zaidi

N:B Asiyekunywa pombe

njoo kwa mnyamwezi hapa ana sifa hizo
 
Good luck and all the best.

26?? Still young asee natafuta kwa kurelax na sikurupuki

Bado hujapata?
Kama bado basi legeza baadhi ya masharti ya kijinga kama sharti la hovyo hovyo la dini,la umri,la wewe ndiyo kujiridhisha mme kama anafaa na sharti la kipuuzi la kupigana mjegeje hadi siku ya ndoa!
Sharti hili la mwisho lingekuwa tu na maana kama wewe ni bikra!
Naweza vumilia nisipige hadi ndoa lkn siku ya kupiga nakuta kitu bwawa!Nitachukia sana aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom