Serikali yetu inaweza nini hasa?

Expedito Mduda

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
522
240
Nashangaa sana kuona hata kile kidogo kinachotolewa kwa ajili ya wakulima kama ruzuku kwenye mbolea tayari mafisadi wameshaingia huko!
Huku Iringa kuna kata ya Mgama watu wanalalamika bei ya mbolea ya ruzuku ni bei kubwa kuliko wenzao ambao wako mbali zaidi. Serikali ni lini itasimamia mambo yake vizuri ili wananchi wafaidike?
Huu utaratibu tayari umeshakuwa mradi wa watu wachache!! Mambo haya ni ya ajabu sana.
 
Serikali ya ccm inaweza mambo mengi tu kama vile kuchakachua kura, kuibia wananchi kwa njia za kijanja kama vile EPA, MEREMETA,kuingia mikataba ya kifisadi, kuuwa wapinzani kama walivyofanya Pemba mwaka 2001 na juzi Arusha.Wewe taja au fikiria kila aina ya uovu hapa duniani serikali ya ccm inaweza kufanya tena kwa ufanisi wa hali ya juu. CCM =CHAMA CHA MAFISADI
 
Back
Top Bottom