Serikali yazifutia usajili Asasi za Kiraia(NGOs) 110 kwa kuendesha shughuli zao kinyume cha Sheria

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,599
6,669
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO


KUFUTWA USAJILI KWA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI (110) KWA KUJIENDESHA KINYUME CHA SHERIA KUANZIA TAREHE 30/03/2016.​

Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali amefuta usajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiesrikali (NGOs) 110 kwa kuendesha shughuli zao kinyume cha Sheria ya NGOs Na. 24 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa mwaka 2005. Mashirika hayo ni yale ambayo hayajawasilisha taarifa za mwaka kwa kipindi cha miaka miwili pasipo kutoa sababu za msingi, kutolipa ada ya mwaka au kuendesha shughuli za NGOs bila kusajiliwa chini ya Sheria ya NGOs.

Kwa taarifa hii, Mashirika yaliyotajawa hapa chini yamefutiwa usajili na yataarifiwa kusitisha shughuli zao kuanzia tarehe ya tangazo hili (30/03/2016). Baada ya kipindi hicho, Msajili wa NGOs atayachukulia hatua stahiki Mashirika ambayo yatakaidi amri hii na kuendelea na shughuli za NGOs kinyume na Sheria husika.

MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI (109) YALIYOFUTIWA USAJILI KUANZIA TAREHE 30/3/2016 NI KAMA IFUATAVYO:

1. THE MEDICAL WOMEN ASSOCIATION OF TANZANIA (MEWATA)

2. AFRICAN GENDER AND GOOD GOVERNANCE ALLIANCE

3. AFRICAN WILDLIFE FOUNDATION

4. AGENDA FOR ENVIRONMENTAL AND SUSTAINABLE DEVELOPMENT

5. ANTIOKIA MISSION INTERGRATED SOCIAL DEVELOPMENT

6. BUSEGWE DEVELOPMENT ASSOCIATION

7. BUTIAMA DEVELOPMENT ASSOCIATION

8. CARE FOR THE CHILD (CFC)

9. CHAKUFAA DEVELOPMENT FOUNDATION

10. CHAMA CHA KUSAIDIA WATOTO YATIMA MAKAMBAKO

11. COMFORT WOMEN RELIEF FOUNDATION

12. COMMUNITY AGRICULTURAL ACTION SERVICES CENTRE

13. COMMUNITY SERVICES SUPPORT OF TANZANIA (COSESU-T)

14. DAUGHTERS OF ZION FOUNDATION LTD

15. DEFENCE OF HUMAN RIGHTS CITIZEN RIGHTS

16. DEVELOPERS OF SUSTAINABLE COMMUNITY BASED ACTIVITIES (DESCOBA)

17. DIANA WOMEN EMPOWERMENT ORGANIZATION

18. EDNA DEVELOPMENT FOUNDATION

19. EMPOWERMENT AGAINST POVERTY AND HIV/AIDS

20. EMPOWERMENT FOR THE DISADVANTAGED COMMUNITY (EDC)

21. ENVIRONMENTAL MANAGEMENT AND NUTRITIONAL SERVICES
AGENCY (EMA-NUSA)

22. GLOBAL VISION TANZANIA (GVT)

23. GRASSROOTS INITIATIVE FOR YOUTH AND ELDERLY DEVELOPMENT ORGANIZATION (GIYEDO)

24. HOPE MISSION OF DEVELOPMENT FOR THE DISABLED (HOMIDED)

25. HURUMA CHILD MINISTRY CENTRE

26. HURUMA REHABILITATION PROGRAMME

27. IMANI WOMEN ECONOMIC EMPOWERMENT ASSOCIATION (IWEA)

28. INTERNATIONAL MEDICAL CORPS

29. IZAAZ MEDICAL PROJECT

30. JUMUIYA EDUCATION BAGAMOYO (JEBA)

31. JUNIOR ACHIEVEMENT OF TANZANIA

32. KAMACHUMU IN NGEMU AGENDA (KINGA)

33. KILIMO HAI TANZANIA (KIHATA)

34. KUZA EDUCATION DEVELOPMENT

35. MANDATE AFRICA FOUNDATION

36. MASASI FARMERS ADVOCACY ASSOCIATION (MAFADA)

37. MAZINGIRA INSTITUTE OF TANZANIA (MAI-TANZANIA)

38. SUMBAWANGA ESCARPMENT ENVIRONMENTAL CONSERVATION ORGANIZATION (SEECO)

39. MFUKO WA MAENDELEO YA WAISLAM MKOA WA RUVUMA

40. MKONGO MLOKA DEVELOPMENT ASSOCIATION

41. MOROGORO ENVIRONMENTAL CONSERVATION ACTION GROUP

42. MOROGORO ENVIRONMENTAL CONSERVATION ACTION GROUP

43. MUUNGANO DEVELOPMENT ASSOCIATION (MUDEA)

44. MWAKALELI COMMUNITYDEVELOPMENT ORGANIZATION (MWACODO)

45. MWALIMU NYERERE UWC FOR SELF RELIANCE

46. MWANANYAMALA WOMEN LDEVELOPMENT GROUP (MWAWODE)

47. NATIONAL LIFE DEVELOPMENT ASSOCIATION

48. NJOMBE DEVELOPMENT ORGANIZATION (NDO)

49. NORWEGIAN PEOPLE AID

50. OLOF PALME ORPHANS CENTRE

51. DEVELOPMENT AGENCY PROBATION TIME RESEARCH

52. PANGOLIN ELITE SPORTS FOUNDATION

53. PARTGAGE TANZANIA

54. PERIPHERY AREAS DEVELOPMENT ASSOCIATION (PADA)

55. POVERTY ALLEVIATION AND AGRICULTURAL DEVELOPMENT (PADEFO)

56. POVERTY FIGHTERS AND CHARITABLE GROUP

57. POVERTY FIGHTERS AND DEVELOPMENT SOCIETY OF TANZANIA
(POFIDESO)

58. PRICESS AGNES FOUNDATION

59. PROGRESS ASSOCIATION TANZANIA (PATA)

60. PROMOTION OF FARMING AND ORPHANS EDUCATION IN TANZANIA (PROFOET)

61. RESTE YOUTH TRAINING TRUST FUND

62. RIDHIKA SHIRIKA LA ULINZI NA MAZINGIRA

63. RURAL ACCESS TECHNOLOGY INORMATION AND INSTITUTIONAL SERVICES (RATHS)

64. RURAL FAMILY LIFE PLANNING ASSOCIATION

65. RURAL INITIATIVES FOR DEVELOPMENT OF TANZANIA - RIDE(T)

66. RURAL ORIENTED SUSTAINABLE DEVELOPMENT ORGANIZATION (ROSDO)

67. RURAL WOMEN DEVELOPMENT ASSOCIATION

68. SAMORSES EDUCATION FOUNDATION

69. SANTA MERINA EDUCATION FOUNDATION

70. SAVE LIFE ASSOCIATION

71. SHINYANGA FOUNDATION FUND (SFF)

72. SOCIETY FOR RURAL DEVELOPMENT INITIATIVES (SRDF)

73. SOLIDARITY WOMEN GROUP (SWG)

74. SOLUTION AND OPPORTUNITIES FOR DISADVANTAGED IN AFRICA (SODA)

75. SOUTH DEVELOPMENT IN TANZANIA (YODIT)

76. SUSTAINABLE INTERGRATED FARMING AND HEALTH IMPROVEMENT
77. TAMADA

78. TANZANIA ACTION FOR PASTORAL EDUCATION ADVOCACY (TACEA)

79. TANZANIA ASSOCIATION OF ENVIRONMENTAL ENGINEERS (TAEES)

80. TANZANIA DEVELOPMENT AND AIDS PREVENTION (TADEPA)

81. TANZANIA GIRL'S EMPOWERMENT (TAGE)

82. TANZANIA HURUMA AIDS ORGANIZATION (THAO)

83. TANZANIA INITIATIVES FOR POVERTY ALLEVIATION (TIPA)

84. TANZANIA JOURNALIST ASSOCIATION (TAJA)

85. TANZANIA MANGROVE PROTECTION ASSOCIATION (TAMPA)

86. TANZANIA MARGINALIZED AREAS COMMUNITY SERVICES FOUNDATION

87. TANZANIA ROAD ASSOCIATION (TRA)

88. TANZANIA SOCIETY FOR THE BLIND (TASODEB)

89. TANZANIA SUPPORT AND TRAINING YOUTH AND WIDOWS ASSOCIATION

90. TANZANIA TENANTS ASSOCIATION

91. TANZANIA YOUTH MUSLIM ASSOCIATION (TAYMA)

92. TARIME – SIRARI GROUP (TARSI)

93. TAX SERVICES TANZANIA

94. TECHNOWLEDGE TANZANIA (TKTZ)

95. TELECOMS AND ELECTRONICS TECHNICIANS ASSOCIATION (TETA)

96. TEMEKE DISTRICT YOUTH FOUNDATION (TEYOFO)

97. THE HUMAN DEVELOPMENT PROJECTS AND TANZANIA

98. NAMTUMBO NETWORK OF CIVIL SOCIETY (NANECISO)

99. THE SURVIVAL AFRICA TRUST (SAT)

100. THE TANZANIA HERALDS YOUTH SERVICES (THEYS)

101. THE VOICE OF THE AIDS AND ORPHANS (VOTAO)

102. THE WOMEN WIDOW CHILDREN AND FISHERIES DEVELOPMENT

103. TUMAINI ORPHANS AND VULNERABLE CHILDREN CENTRE

104. UMOJA WA DOUYA NA MAKANGAWE (UDOMA)

105. UMOJA WA MADEREVA WA MABASI TANZANIA (UWAMATA)

106. WATOTO CARE ORGANIZATION (WACO)

107. WOMEN AND YOUTH ECONOMIC DEVELOPMENT INITIATIVE (WOYEDE)

108. WOMEN DEVELOPNMENT AND GENDER

109. SAIDIA JAMII YA WAZEE KAGERA SAJAWAKA)

110. UKIMWI ORPHANS ASSISTANCE (UKOA)

Imetolewa na,
M.S. Katemba
MSAJILI WA NGOs
WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO
29 Machi, 2016.
 
Shida yangu ni baadhi ya taasisi ambazo zinahidumia watoto yatima na watu wenye kipato kidogo tutazalisha ombaomba zaidi mitaani
 
Jamani acheni kupotosha. Sio kodi bali ni taarifa za mwaka na ada ya kila mwaka kama sheria inavyoelekeza !!
 
hii mambo ya kufungia fungia, bila hata onyo siungi mkono kivile, kama kosa ni taarifa au ada kwa nini wasifuatiliwe kwanza kama wanatoa huduma zinazosaidia jamii basi wapewe onyo ikishindikana ndio wafungiwe
maana serikali ilishafungia yale makampuni ya forodha ikajagundua ilikosea
 
Ikishazifungia hayo majukumu yao yatabebwa na nani?mfano kama kituo kina watoto yatima.
 
Msajili wa NGO'S Amefuta mashirika 110 yasiyokuwa ya kiserikali kutokana na kuendesha shughuli zao kinyume cha sheria .

miongoni mwa mashirika hayo ni pamoja na chama cha madaktari wanawake Tanzania ( MEWATA ) , Chama cha waandishi wa habari ( Taja ) na chama cha madereva wa mabasi Tanzania ( Uwamata ) .
 
Msajili wa NGO'S Amefuta mashirika 110 yasiyokuwa ya kiserikali kutokana na kuendesha shughuli zao kinyume cha sheria .

miongoni mwa mashirika hayo ni pamoja na chama cha madaktari wanawake Tanzania ( MEWATA ) , Chama cha waandishi wa habari ( Taja ) na chama cha madereva wa mabasi Tanzania ( Uwamata ) .
MEWATA CHAMA CHA WAPIGAJI WEWE WAMESHAVUTA VYA KUTOSHA NA DILIZAO ZA MAZIWA YAKINA MAMAA
 
KUNA madk wao nilikutana nao mtwara karibubwote wanasomesha watoto wao feiza mmoja akaapa akirudi NA yeye anawahamishia watoto wake feiza akimaliza ya mtwara

Lih sijui itakuwaje
 
dah kweli maisha ya kuishi kiujanja ujanja yamefika tamati.....hapa kwenye Mewata hapa wadau tuwekane sawa
 
KUNA madk wao nilikutana nao mtwara karibubwote wanasomesha watoto wao feiza mmoja akaapa akirudi NA yeye anawahamishia watoto wake feiza akimaliza ya mtwara

Lih sijui itakuwaje
kwaheri MEWATA , Karibu KANSA YA MATITI .
 
hii mambo ya kufungia fungia, bila hata onyo siungi mkono kivile, kama kosa ni taarifa au ada kwa nini wasifuatiliwe kwanza kama wanatoa huduma zinazosaidia jamii basi wapewe onyo ikishindikana ndio wafungiwe
maana serikali ilishafungia yale makampuni ya forodha ikajagundua ilikosea
Akifanya hivi si ndio ataandikwa na magazeti
 
Back
Top Bottom