Serikali yawatelekeza wanafunzi vyuo vikuu

Kwa mujibu wa bodi wanadai vipo kama 20, ikiwemo Bugando, muhas, amucta, T.I.A, Sfuchas, n.k.

kwa vyuo vya serikali wanafunzi hata kama hawajamaliza ada wanaruhusiwa kufanya mitihani kwa ninavyojua sasa sijajua hao wanaokatazwa kufanya mitihan ni vyuo vya private au serikal?
 
kwa vyuo vya serikali wanafunzi hata kama hawajamaliza ada wanaruhusiwa kufanya mitihani kwa ninavyojua sasa sijajua hao wanaokatazwa kufanya mitihan ni vyuo vya private au serikal?
Vyuo vya private wanafunzi wameambiwa kama hajamaliza usisogelee chumba cha mtihani.
 
Vyuo vya private wanafunzi wameambiwa kama hajamaliza usisogelee chumba cha mtihani.

Private huwa hawana mchezo ila kwa serikali i am sure 100% hakuna anayekatazwa kufanya mtihani ukija kuchukua cheti ndo unalipa
 
Wanafunzi wengi wamekataa tamaa sasa serikali ifanyeje kama wenyewe wamekataa?
 
Dah! Kumbe umetembea kwenye chuo kimoja tu then unasema vyuo zaidi ya 20? By the way bado zoezi la uhakiki linaendelea
Acha ushabiki wa kijinga wanaume wanapoleta hoja za maana hapa, ukute unamiaka mingi tu ila akili yako imejaa ushabiki usio na tija
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…