japo ni makosa kuisemea mioyo ya wengine, kwa hili naomba kuuvunja huo mwiko.Asante sana Rais wetu, sisi walimu tuna imani na wewe.
Nimepata simu jana usiku toka kwa mtu wa jikoni kuwa ktk payroll ya mwezi January serikali imeongeza walimu kiasi cha fedha za kitanzania 50,000/ flats kwa wote.
Walimu muwe na subira serikali ina wajali.