Nimepata simu jana usiku toka kwa mtu wa jikoni kuwa ktk payroll ya mwezi January serikali imeongeza walimu kiasi cha fedha za kitanzania 50,000/ flats kwa wote.
Walimu muwe na subira serikali ina wajali.
Kwani tanesco inaendeshwa na serikali au inajiendesha watu gongo imewaharibu mnaandika mambo hata msiyojua ukweli wake.Ni hii hii Serikali yenye kushindwa kuendesha hata TANESCO na kuongeza bei ya umeme, ndio ina ubavu huo wa kuongeza Tsh 50,000/= kwa kila mwalimu?
-Pesa imetoka katika Bajeti gani?
-Kwanini hiyo pesa iongezwe sasa hivi?
-Kwanini iongezwe kwa kada/ taaluma moja tu?
Kwani wewe unataka nini mbona povu sana hutaki walimu waongezwe au nia yako hasa ni nini.Ni hii hii Serikali yenye kushindwa kuendesha hata TANESCO na kuongeza bei ya umeme, ndio ina ubavu huo wa kuongeza Tsh 50,000/= kwa kila mwalimu?
-Pesa imetoka katika Bajeti gani?
-Kwanini hiyo pesa iongezwe sasa hivi?
-Kwanini iongezwe kwa kada/ taaluma moja tu?
Kwani tanesco inaendeshwa na serikali au inajiendesha watu gongo imewaharibu mnaandika mambo hata msiyojua ukweli wake.
Kwani wewe unataka nini mbona povu sana hutaki walimu waongezwe au nia yako hasa ni nini.
Heko serikali endeleeni kuwajali walimu kidogo kidogo hujaza kibaba na subira yavuta heri.