mwita daniel
Member
- Sep 18, 2015
- 37
- 15
Lets pray for Tanzania
Hapo kwenye powerful sourcesSerikali imetoa tamko kali kwa balozi za magharibi: Yalipotokea mauaji ya Kibiti-Mkuranga-Rufiji wakauwawa raia zaidi ya 30, wengi wakiwa wafanyakazi wa serikali za mitaa au kada wa CCM, Wamarekani, EU na wengine walikaa kimya. Ghafla upinzani wachache wamepata mashambulizi, mabalozi hao wameibuka na kauli nzito za kuhoji demokrasia na haki ya binadamu
Kwa mujibu wa tamko la serikali, matukio ya sasa ya uhalifu yenye sura ya kisiasa yanafanywa na "powerful forces" ndani na nje ya nchi ambazo zimeumizwa na vita inayopigwa na serikali ya Rais Magufuli dhidi ya ukwepaji kodi, ufisadi, madawa ya kulevya, matumuzi mabaya ya pesa za umma na kudai uwajibikaji wa sekta za umma na binafsi
Kwa mujibu wa serikali, mabalozi ya magharibi yametoa taarifa zao kuhoji demokrasia na haki za binadamu bila kuelewa vizuri hali halisi ya kisiasa na kiusalama nchini
Huu utetezi hauna mashiko, mkulu alisema "wewe washughulikie bungeni mimi nitawashughulikia uraiani" kuna cha kukwepa hapo?serikali ndio muhusika mkuu wa hayo matukioSerikali imetoa tamko kali kwa balozi za magharibi: Yalipotokea mauaji ya Kibiti-Mkuranga-Rufiji wakauwawa raia zaidi ya 30, wengi wakiwa wafanyakazi wa serikali za mitaa au kada wa CCM, Wamarekani, EU na wengine walikaa kimya. Ghafla upinzani wachache wamepata mashambulizi, mabalozi hao wameibuka na kauli nzito za kuhoji demokrasia na haki ya binadamu
Kwa mujibu wa tamko la serikali, matukio ya sasa ya uhalifu yenye sura ya kisiasa yanafanywa na "powerful forces" ndani na nje ya nchi ambazo zimeumizwa na vita inayopigwa na serikali ya Rais Magufuli dhidi ya ukwepaji kodi, ufisadi, madawa ya kulevya, matumuzi mabaya ya pesa za umma na kudai uwajibikaji wa sekta za umma na binafsi
Kwa mujibu wa serikali, mabalozi ya magharibi yametoa taarifa zao kuhoji demokrasia na haki za binadamu bila kuelewa vizuri hali halisi ya kisiasa na kiusalama nchini
Magu anatanguliza maslahi ya nchi upende usipende, list is long na sina haja kukutajia sababu huna jema, vinyampara wachache kama nyinyi vyeti feki, mliokuwa mnakula vya bure kwa zero work done, na wanasiasa wachache mlokuwa mnavunja vunja Sheria lazima mfure hasira na kuombea doom, unfortunately wishes zenu zitabaki ndotoni mwenu. Shuhudia landslide win come 2020.
Otherwise piga kazi, utajichosha na kujikondesha bure tu, jamaa yupo hadi 2025, wish you long life ushuhudie.
Huu ni ukilza wa hali ya juu! Eti unapewa rai wewe unajibu mbona hamkunipa rai wakati ule!! Rubbish!Serikali imetoa tamko kali kwa balozi za magharibi: Yalipotokea mauaji ya Kibiti-Mkuranga-Rufiji wakauwawa raia zaidi ya 30, wengi wakiwa wafanyakazi wa serikali za mitaa au kada wa CCM, Wamarekani, EU na wengine walikaa kimya. Ghafla upinzani wachache wamepata mashambulizi, mabalozi hao wameibuka na kauli nzito za kuhoji demokrasia na haki ya binadamu
Kwa mujibu wa tamko la serikali, matukio ya sasa ya uhalifu yenye sura ya kisiasa yanafanywa na "powerful forces" ndani na nje ya nchi ambazo zimeumizwa na vita inayopigwa na serikali ya Rais Magufuli dhidi ya ukwepaji kodi, ufisadi, madawa ya kulevya, matumuzi mabaya ya pesa za umma na kudai uwajibikaji wa sekta za umma na binafsi
Kwa mujibu wa serikali, mabalozi ya magharibi yametoa taarifa zao kuhoji demokrasia na haki za binadamu bila kuelewa vizuri hali halisi ya kisiasa na kiusalama nchini
Ndg hata Bosnia ilikuwepo serikali lakini iliuwa watu kwa siri na wazi.Kunamambo serikali inakua inajua yenyewe ,na inajibu kama serikali sasa wananchi uku sio vyote mnaweza mkawekwa wazi!
Je ni halali Rais kuvunja katiba aliyo apa kuilinda??Mzee Mahiga ndio kasema mbona kibiti hamkusema ??
Haya ndio majibu ya nguli wa diplomasia na kachero mbobezi ?
Safari bado ndefu
Nimecheka Sana mkuuHayo mauaji ya kibiti ni kama kitu planned ili kuja kutumika kama defending mechanism kwa hiki kinachoendelea sasa hapa nchini. Mauaji ya kibiti hatukuwa tunaona misiba bali taarifa za polisi tu. Tena taarifa zenyewe tata. Hatuna uhakika wa idadi ya waliokufa zaidi ya taarifa za polisi ambapo polisi haiaminiki. Simply tumejua kilichokuwa kina tokea kibiti ni zuga ili kuja kuhalalisha haya mauaji ya wapinzani. Mbona misiba ya wapinzani tunaiona, ni kipi special huko kibiti. Hilo movie la kibiti ni kama ile sinema ya magaidi wa amboni ambapo magaidi eti walikutwa wanapika ugali na dagaa. Hukuna gaidi anakula ugali na dagaa.
mshambaMagufuli hawafahamu vizuri marekani. ..kwanza akae akijua mambo haya sio siri yako wazi kabisa. .na mataifa makubwa kama haya hayategemei mabalozi peke yake wako CIA wa kimarekani karibu nchi zote dunian. .dan kwa anavyokataa anadhihirisha wazi hana nia njema na hili taifa, kwanza binafsi yangu nashukuru kwa hiyo hatua ya kumuuliza what's going on..ktk nchi iliyokuwa inaaminika kwa amani dunian barua yao ni ishara ya kumwambia tupo tunakuangalia. ..ajue kabisa hayo maandamano ya tarehe 26 April yanazid kuwa signed tena zaid kwa mataifa ya nje juu ya usalama wa raia nawahakikishia magufuli hatomaliza miaka mitano kama hajatolewa madarakani. .aidha kwa nguvu ya wananchi au kwa nguvu ya jeshi..Mambo yanazid kuwa moto. .Mungu ibariki Tanzania.
Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
Sio halali, tambua hizi injustice za utekaji nyara na mauaji, bado hakuna evidences za kuihusisha serikali, na kama ilihusika inapaswa kukanywa, sababu there's always rotten elements in organizations.
Na hamna la kuiga kutoka USA kamanda, concerning Human Rights, that's a country built on the back of slaves, a country where shooting black people is the norm of life, a country responsible in the overthrowing democratic elected leaders all over de world and still doing so, nakwambia waandamanaji wote waliouliwa Tz hawafikii waliouliwa marekani mwaka huu pekee na wamarekani wenzao. Acheni kupelekeshwa na wanasiasa, the grass is always greener on the other side.
Usiende mbali, jilinganishe na nchi zetu jirani tu. You'll treasure what you have
mshamba