bily JF-Expert Member Apr 5, 2012 8,029 5,788 Feb 20, 2016 #2 Hivo siyo vyuo vikuu wala taasisi ya elimu ya juu basi tu serikali ccm imetufikisha huko. No comment.
Hivo siyo vyuo vikuu wala taasisi ya elimu ya juu basi tu serikali ccm imetufikisha huko. No comment.
wembeee JF-Expert Member Jan 16, 2015 2,708 1,353 Feb 20, 2016 #3 Mnakuja na habari nusu nusu kama watoto vile fanya ivi kanunue gazeti Soma hbr kamili ndipo weka bandiko lote kma lilivyo
Mnakuja na habari nusu nusu kama watoto vile fanya ivi kanunue gazeti Soma hbr kamili ndipo weka bandiko lote kma lilivyo
mnoel JF-Expert Member Aug 14, 2012 211 98 Feb 20, 2016 #4 Huyo singidadodoma anataka kuonekana ameleta habar..habar yenyewe ugali mbichi...eleza habar kwa undani ..otherwise kaa kimya
Huyo singidadodoma anataka kuonekana ameleta habar..habar yenyewe ugali mbichi...eleza habar kwa undani ..otherwise kaa kimya