The hammer
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,390
- 1,775
Hicho ndicho kinachotakiwa na si drama nyingine,hii inaitwa business as usual...tunafanya kwa kuwa ni desturi iliyozoeleka ila ukijaza hakuna impact yoyote hata kama kutakuwa na utofauti mkubwa..Labda wanze kuzifanyia kazi za waliopita kwanzaNajiuliza sana swali hili, lakini pia tume ya maadili ingeanza kutoa tathmini ya uzalendo wa viongozi waliomaliza muda wao ili kujua kama mienendo yao ilikuwa safi ktk utumishi