Rev i do have the same argument.I was born and rised in Mlimani, i know source kubwa ya migomo ni kitivo cha uhandisi. Why? That is the question ninalo jiuliza miaka nenda miaka rudi. uhandisi suppose to be soma soma limited.
I think its a time UDSM kiwe private then government iwe inatoa scholarship to those who qualified. I think we need to do that, i think itarudisha heshima ya Mlimani. Hakuna haja ya kuwalipia ada wasela, watu walikwenda pale mlimani kwa nia nyingine, either iwe ni kusaka wapenzi au kula ruzuku na kucheza pool kwenye cafteria zao kule mabibo hostel.
Let return the respect ya Mlimani.
tatizo lipi? matatizo yaliyopita kwa taarifa yako most of the yalipatiwa suluhu kwa njia hii hii ya mgomo. Kwa hili la sasa tatizo halijawekwa bayana so suluhu itapatikanaje?
kulindana? inaonyesha wewe ndio uyelijua sana hili ni vyema ungesema tu ukweli unamlinda nani.
Wewe ulikuwepo UDSM hiyo 1990s, acha kukomalia mambo bila kujua kiini. Haya kumbusha kilichowakuta kina Mbatia na uwataje hao wenzie ni kina nani.
kuitana majina sio nia njema, hao unaowaambia waache UNAZI unafikiri wanafurahia kuitwa hivyo? then unawataka waseme, waseme nini ilhali wewe unajua kila kitu na unachokijua wewe ndio sahihi? usiwafanye watu wajinga hapa, kukaa kimya sio kushindwa hoja, sometimes ni kuepuka kupewa jina.
Hujui hata tatizo moja lililopatiwa suluhisho!hapo unathibitisha jinsi unavyochukulia mambo juu juu. Hebu toa hizo statistics hapa kama unazo. Kila mgomo una chanzo chake. Tumia akili kufikiri. Unadhani watu hawajui kuita hayo majina, na wewe una uhakika gani kama bado hujaitwa jina. Kuheshimu uhuru wa mawazo yako hata kama ni mawazo mgando hupewi jina, however jina lako utajipa mwenyewe kwa vile wewe ni bingwa wa kutoa majina.
Usinifanishe kabisa and on top of that you wont take my dignity, hujui hata maana ya kuita majina asiyejua maana haambiwi maana, kaa hivyo hivyo kalaghabaho. Sina muda wa kukupa jibu maana huelewi king'ang'anizi we. Ufisadi unazidi nchi hii kwa watu wenye akili mnato na ambao ubongo wao uko machoni kama vile wewe. Unataka watu wakupe suluhisho badala ya kulitafuta suluhisho, we wa kutafuniwa. Mtafute Mukandala umuulize tatizo ni nini na mdiscuss suluhisho.
Kwa wale wanaodhani migomo na maandamano katika vyuo vikuu ni kwetu tu hebu someni hapa:
1) Wanafunzi wa vyuo vikuu ndiyo waliongoza maandamao,migomo na harakati nyingine kupinga vita vya Vietnam. Katika hawa mmojawapo mashuhuri ni Bw. William Jefferson Clinton.
http://en.wikipedia.org/wiki/Opposition_to_the_Vietnam_War
Kuna wanafunzi walipoteza maisha yao pale Kent State mwaka 1970 katika harakati hizi ( walikuwa wanapinga uvamizi wa Cambodia).
http://en.wikipedia.org/wiki/Kent_State_shootings
Na tusisahau kuwa ni wanafunzi hao hao waliokuwa mbele katika kudai haki sawa na kwa watu weusi. Ni wanafunzi hao hao walioshinikiza vyuo vyao kujitoa katika kuwekeza katika mashirika yanayofanya biashara na serikali ya makaburu wa Afrika ya Kusini. Hii ilichangia kwa kiasi kikubwa juhudi za kuutenga utawala huo dhalimu na hatimaye kudondoka. Na ikumbukwe wanafunzi hao walifanya hivi katika miaka ya 60, maarufu kwa movement ya maHippy wakiweka mbele upendo, amani na utumiaji wa madawa ya kulevya! Jamii iliwaona wahuni tuu lakini ni peke yao waliokuwa tayari kutetea haki ya wanyonge.
2. Nchini ufaransa vyuo vikuu vililipuka mwaka 1968 kupinga utawala wa De Gaulle waliyemwona anawafanya kama watoto wadogo. Inaaminika kuwa huu ndiyo ulichangia kwa kiasi kikubwa mabadiliko katika jamii ya kifaransa kuwa more liberal na tolerant.
http://en.wikipedia.org/wiki/May_1968
hawa waliungwa mkono na wafanyakazi.
Mwaka 2006, wanafunzi wakifaransa waliingia tena mitaani kupambana na mabadiliko ya kiuchumi yaliyokuwa yanapendekezwa na serikali.
http://www.spiegel.de/international/spiegel/0,1518,406865,00.html
3. Wanafunzi wa vyuo vikuu Korea ya kusini wamekuwa kila kukicha wanapambana na serikali yao dhidi ya hali ya kisiasa katika yyao na Korea ya kaskazini pamoja na mengineyo.
Ninachotaka kusema ni kuwa Chuo Kikuu ni mahali pa mapambano ya kifikra. Ukiangalia tena kuwa wengi wanaokuwepo hapo ni wa umri ambapo wanaamini kuwa wanaweza kufanya lolote na watu wazima magoigoi tu na sell-outs to the system( wengi tumepitia hapa) panahitaji busara kubwa kuhakikisha kuwa hizi eneji zao haziwi destructive. Busara hii si katika kuwa confontational maana watajibu mapigo. Busara ni katika kuwapa nafasi kuelezea kinachowakera, na kuwaheshimu kama watu wazima wengine. Hii inajumuisha vile vile kuweka mipaka ambayo itaheshimiwa na kila mwana jumuia ( mwanafunzi na mkufunzi),k.m. masuala ya unyanyasaji wa kijinsia( mzee panch na wenziwe). Ulaya, Marekani baada ya vurugu za miaka ya sitini wametambua hili, ndiyo maana hausikii migomo ya mara kwa mara. Sisi, kwa bahati mbaya, bado tumejikita katika mtazamo wa miaka sitini, kudai heshima kwa nguvu. hata kwa mtoto wako ukifanya hivi hautafika mbali. Sembuse wa mwingine!
Nadhani wanafunzi wa uhandisi wamekuwa mstari wa mbele kwa hili kwa sababu kuna wakati ni wao tu na wakina mama waliokuwa makiingia chuoni moja kwa moja kutoka JKT (Musoma Resolution). Hao wengine walibidi wafanye kazi kwa miaka miwili kabla ya kuingia chuoni hivyo walijikuta washaonja system. Wahandisi walikuwa bado naive wakiamini bado kuwa wanaweza kupambana na system. Wengine walikuwa na toom much to loose. hii pengine imeendelea mpaka leo. I however stand to be corrected maana hizi ni speculations tu maana sijawahi kupitia hapo UDSM!
Hapa umewakata kidomodomo wote waliokuwa wanatoa mifano ya vyuo vya nje kuwa hakuna migomo. Kuna watu wanatia aibu kabisa hapa na sijui wanalipwa kiasi gani (hasa huyu anajiita mama) kuja hapa kutetea ufisadi?
wamegoma kwasababu, demokrasia ya wao kuchagua viongozi wa serikali ya wanafunzi wawatakao imepindishwa, wamegoma kwasababu tatizo la maji limekuwa sugu, wamegoma kwasababu umeme unakatika hovyo, lift hazifanyi kazi....mgomo huu ni halali! kama unadhani kukosa calculator ni jambo dogo, basi lazima una matatizo na wanaozihitaji ni wale ambao hawapo pale kwa degree ya history, otherwise maisha ni magumu sana kwa sayansi students bila calculator.
hayo mambo ya pombe, bangi na ngono ni vitu vya kawaida vyuoni dunia nzima! sasa kama hujafanya hayo(kwa walioamua kufanya) wakati ukiwa chuo, watayafanya hayo wakiwa wapi?? ile baa ya wanafunzi ipo kwa ajili ya nani? au ni urembo tu? argument nyingine hapa ni za kilevi kushinda hao wanafunzi mnaowaita walevi!! tuwe wakweli jamani......
YNIM,
Kugoma shule kwa ajili ya calculator ni kitu cha kijinga na kipumbavu sana.
Wewe uko Marekani, calculator alikupa nani? si uliinunua mwenyewe? je ulipewa ruzuku? hapana!
Tatizo la UDSM si kilio cha kusema hakuna maji, kama ni hivyo, basi nchi nzima igome kufanya kazi! Kama ni umeme kukatika katika, basi nchi nzima igome kufanya kazi na kuamka!
Unasema, haki yao ya kuchagua Serikali imepindwa, je imepindwa vipi? ushahidi gani ulioko kuwa Uongozi wa Chuo ulifanya kwa kusudi kubatilisha uchaguzi na kuzuia yule Mwanafunzi Mganda?
This is what I see of UDSM and its problems. There is high degree of arrogance which is accompanied with extreme childish behavior in the name of haki zetu!
This has been the culture of UDSM student acting as if they are special priviledged group in our country. The fact that most of students do not want to work hard and earn any money to support themselves, and pay for their tuition, food books and supplies, tells kila mwananchi kuwa there is something wrond with our "intellectuals"!
People need to get real; nothing is for free anymore. I would not be suprised that wataandamana kwa kuwa hawajapewa sabuni na vyoo havna toilet paper!
Wakati kina Mwabulambo na wazee wengine walipoleta mgomo in 70s, they had a cause that was relevant.
Hata migomo iliyokuja baadaye, si yote ilikuwa ya msingi.
Nailaumu Serikali kwa kulea na kuendekeza ugonjwa huu wa kitabia ambao unazorotesha maendeleo ya elimu na maendeleo ya Taifa letu. Hii dhana ya kuwa tegemezi kwa kila kitu inabidi ifutwe. Kelele za kudai sisi ni watoto wa masikini au wakulima zizimwe na zisipewe nafasi hata kidogo kusikilizwa.
It is time that scholarships be awarded to those who trully deserve them. Either you have to receive scholarship due to supreme perfomance on your "A" levels or there is a solid proof that you can not afford to borrow money from Serikali to foot your own school expenses.
Why should I entertain the thought that my tax money is being wasted by ungrateful kids? I have a battle fighting mafisadi using my tax money, but now I have to fight with spoiled bratts?
Get mkopo, get a job, pay for your own damn calculator. If the elevators are not working use the staircase, it is a good exercise!
YNIM,
If the elevators are not working use the staircase, it is a good exercise!
Sheria ya majengo ina sema Ghorofa likizidi 4 floors lina hitaji lift.
So in this situation lift is a necessity, na italeta efficiency kwa masomo yao. Maana wakipanda na ndo mpaka ghorofa ya kumi, then akifika huko kachoka, hivyo hatoweza kusoma immediately , hivyo kupoteza muda wa kufanya shughuli endelevu
Asilimia zaidi ya 80 ya wanafunzi wa vyuo vikuu marekani wanapata mikopo ambayo ina guarantee ya federal govt kwa hiyo wanakuwa na uwezo wa kununua calculator na mengine wanayohitaji.
Kama wasipogomea ukosefu wa maji na umeme, then watagomea nini kama wananchi wa kawaida hawana mtu wa kuwaorganize kugoma? Kumbuka kuwa serikali inalipa mabilioni kwa Dowans na Kiwira bila sababu yoyote. Huoni kama kuna sababu ya kushinikiza serikali kutoa huduma hizi?
]Ukisoma thread zote zilizoanzishwa na wanafunzi hapa kipindi kile cha uchaguzi huu utagundua kuwa chuo hakikutoa sababu yoyote ya kuingilia uchaguzi wa wanafunzi.
hata kama ni hivyo, kuna sababu yoyote inayoweza kuhalalisha uongozi wa chuo kuingilia na kusimamisha uchaguzi mkuu wa wanafunzi wa chuo kikuu?
Ukishaona kuwa madai ya wanafunzi ni childish, unakuwa tayari umefunga mlango wa kuchambua kama kinachodaiwa kina sense or not.
Kwa argument yako, I think all pple should get real and privatize everything coz there is nothing for free anymore in TZ Mzee naona unaongea kama a pure republican ambao pamoja na rants zao bado wanatoa elimu bure kwenye capitalist nation kama USA
]Una namba ya watu wangapi Tanzania wanaweza kulipa milioni moja tuition na milioni moja matumizi kwa mwaka ili kupata elimu ya juu?
Kwa nchi ambayo watu wengi wanamake a dollar or less a day. How is this possible?
You should be glad that your tax money is used by university stundents and not by Chenge and his friends. Unaongea kama vile ni rahisi sana hapo Tanzania kupata mkopo au kazi ya kufanya haya unayosema.
huyo rev hapo juu ndio sababu tanzania niipendayo haitaendelea milele.people are so comfortable with problems,people have no hope for better,or they havent seen better.with their small naive minds they take UDSM as the best place a person can be.let me tel you something rev et al.hiyo UD unayoiona kama mbinguni bado kabisa yani,its not even near Middle school standards kwa wenzetu.sasa kwa kuwa kuna wale "nimezaliwa tanzania,nimekulia tanzania,nimesomea tanzania,nimefanyia kazi tanzania,etc etc " basi wanaona UD,mabibo kama vile ndio a heaven for tanzania Youths!get over it.that place is way under par,and it needs a lot of fixes,ili ifikie hata kiwango cha kuombea maji maana hapo kilipo kinatia huruma.sasa sioni ni kwa sababu gani mabadiliko nayo yanawekewa zengwe.how can UD improve its standard kama hata maji hakuna??hao wanafunzi mnataka waweke ma-housegalz wa kuwachotea maji??mnataka wasioge??ebo!wakitoka hapo na elimu duni mnawaaambia walikuwa walevi!!nani aliwaambia drinking bear ina relation na ability au IQ ya mtu??how come a person over 18 anakuwa questioned for consuming alcohol??then mbona hata hizo baa ni nyie maprof ndio mnaziweka??sasa tuwaeleweje??get over yourselves..,
IF ANYBODY THINKS UD IS BETTER and IT DOESNT DESERVE IMPROVEMENT then that person is not the right person to speak for anyone in Tanzania.
HAITAKII MEMA TANZANIA YETU.
kishoka bwana....maneno miiingi, halafu unaongea kama upo kwenye mars!! mzee tunaongelea bongo, ambako unemployment ipo kwenye roof!! hizo McD zipo ngapi? kuwa utingo unafikiri ni virahisi?
kuna points nzuri umetoa, lakini kiujumla una simplify hii issue kupita kiasi.....hivi unajua bei ya scientific calculator pale bongo? je katika boom na mikopo mingine wanaweka na mahesabu ya calculator?.....wewe unaongelea vitu ideal wakati sie tunaongelea vitu real! baadhi ya proposals zako ni totally impossible ktk tanzania ya leo.
vijisenti vya Chenge pale Jersey ni nuff, kununua calculators na kufix elevators zote pale UDSM......hivi ni chepi hasa ambacho ni kigumu?
acheni kudanganya watu, yaani UD haina hata hadhi ya middle school? middle school gani za tanzania unazozungumzia. Umefika vijiji vya mkoa wa Mara? barabara ni shida, itamchukua mama mjamzito muda wa masaa zaidi ya mawili kwenda kutafuta maji! si afadhali hata nyie hapo kwenu yanatoka mara kadhaa! kwa nini msinunue ndoo nyingi kama wafanyavyo wakazi wa tabata ambao maji yaweza yatoke hata kwa muda wa miezi mitatu.
Nyie wanafunzi kufika hapo chuo ndio isiwe sababu ya kusahau kule mlipooka. Ningewaunga mkono kama mngegoma ili mama zenu kule kijijini wapate umeme na maji waache kuhangaika kutafuta pesa ya mafuta ya taa, ingalau kule vijijini wapate barabara nzuri ili wapate kusafirisha mazao yao wapate lau pesa ya sabuni.
Je wewe umesoma kwa shule ya St Mary au St Kayumba? Kama unasoma St Mary ujue mzazi wako alifanya ufisadi ndio akaweza kukulipia ada millioni mbili kwa mwaka wacha pocket money anayokupa. Kwa aliyesoma St Kayumba naona na alivumilia kula ugali na maharage mabobu na kunywa uji usio na sukari kwa miaka miwili au zaidi, nakwenda kuchota maji ya kupikia na kusafisha choo nadhani haya anaweza kuyavumilia.
Tafuteni haki kwanza haki ya kuboresha maisha vijijini then ndo mtake haki ya kuboresha mazingira hapo UD. Upigeni vita ufisadi then na sie wanakijiji tutawaona kuwa nyie ni wakombozi wetu na umuhimu wenu tutauona na tutawaunga mkono kuoigania kuboresha miundo mbinu hapo chuo.