Serikali Yatenga Fedha kuanza ujenzi wa Reli Mpya ya SGR Kutoka Bandari ya Tanga Hadi Isaka. Itakuwa na Tawi la Arusha-Musoma

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
79,084
Reaction score
84,973
Kwa kutekeleza mradi huu sio tuu kwamba Bandari ya Tanga Sasa itakuwa mshindani wa Bandari ya Mombasa Bali tutakuwa tumeteka mizigo ya Uganda,North Eastern DRC,Rwanda ,Burundi na Kanda ya Ziwa na Kaskazimi Yote Kwa sababu Tanzania itakuwa imefungua ushoroba Mpya wa Uchumi wa usafirishaji Kupitia Bandari ya Tanga.

Mtalii anaweza shuka uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Serengeti akasafiri Kwa Sgr Hadi Tanga na Dar.

Unaweza safirisha kontena lako kutoka Kisangani Hadi Tanga Kwa njia fupi zaidi kuliko Kupitia Mombasa.
Screenshot_20250521-232738.jpg
Screenshot_20250522-000302.jpg

My Take
Baada ya reli hiyo kukamilika,naomba Serikali ifikirie pia kujenga Sgr zifuatazo.

1.-Lagosa-Mpanda-Kilosa(Hapa itaungana na Sgr ya Sasa?

Hii ni route nzuri badala ya kutoka Kaliua-Mpanda-Karema.

2.Sgr ya kutoka Makambako (Tazara)-Malinyi-Liwale-Mtwara Port.
Screenshot_20250521-234858.jpg
 
My Take,
Tunataka kwanza barabara za EPC+F, Tunataka barabara za kulipia, tunataka daraja la jangwani, tunataka reli ya Dodoma-Mwanza.
Vyote hivyo vitakuja.

Tunataka kufungua ushoroba Mpya wa Uchumi wa usafirishaji Kupitia Tanga.
 
Kwa kutekeleza mradi huu sio tuu kwamba Bandari ya Tanga Sasa itakuwa mshindani wa Bandari ya Mombasa Bali tutakuwa tumeteka mizigo ya Uganda,North Eastern DRC,Rwanda ,Burundi na Kanda ya Ziwa na Kaskazimi Yote Kwa sababu Tanzania itakuwa imefungua ushoroba Mpya wa Uchumi wa usafirishaji Kupitia Bandari ya Tanga.

Mtalii anaweza shuka uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Serengeti akasafiri Kwa Sgr Hadi Tanga na Dar.

Unaweza safirisha kontena lako kutoka Kisangani Hadi Tanga Kwa njia fupi zaidi kuliko Kupitia Mombasa.
View attachment 3342364View attachment 3342365

My Take
Baada ya reli hiyo kukamilika,naomba Serikali ifikirie pia kujenga Sgr zifuatazo.

1.-Lagosa-Mpanda-Kilosa(Hapa itaungana na Sgr ya Sasa?

Hii ni route nzuri badala ya kutoka Kaliua-Mpanda-Karema.

2.Sgr ya kutoka Makambako (Tazara)-Malinyi-Liwale-Mtwara Port.
View attachment 3342367
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Uongo na kama hivyo ni sehemu ya zile kampeni uchwara za misimu yote ya chafuzi.
 
Haya ndio maendeleo tunayoyataka sisi wananchi
 
Back
Top Bottom