Serikali yatangaza viwango vya tozo kwa watumiaji wa Daraja la Nyerere

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
kig3.jpg

Serikali imetangaza viwango vya tozo kwa watumiaji daraja la Nyerere, Kagamboni.

Bodaboda kulipia Shilingi 600.

Magari madogo shilingi 1500.

Tozo hizo kuanza kutumika kuanzia Jumamosi.
===============================================

IMG-20160510-WA0016.jpg

Tayari Dar es salaam imeanza kufurahia urahisi wa kuvuka bahari kwa urahisi zaidi kwenye safari kati ya Kigamboni na Town Dar es salaam ambapo daraja lilivyozinduliwa tu tuliambiwa tutalipia ila hatukutajiwa bei, leo May 10 2016 ndio bei zimetajwa na unaweza kuzipata hapa chini.

Kaongea Injinia Joseph Nyamwuhanga kataja kila kitu >>> ‘Shughuli za kutoza fedha zitasimamiwa na shirika la NSSF na tumeweka tozo kwa watumiaji wa aina mbalimbali mfano Magari na Pikipiki na kila mmoja atalipa kulingana na aina ya chombo chake’

‘Kwa waendao kwa miguu wataendelea kupita bure mpaka Serikali itakapoweka utaratibu tofauti, wenye baiskeli tozo itakuwa shilingi 300/= ila kwa sasa watapita tu bure mpaka tutakapowatangazia siku ya kuanza kulipa, kwa wenye pikipiki watalipa shilingi 600/=, Baiskeli za miguu mitatu (Guta) watalipa shilingi 1500/=’ << millardayo.com >>

‘Mikokoteni watalipa shilingi 1500/=, Pikipiki za Miguu mitatu ambazo ni Bajaji watalipa Tsh. 1500/=, Gari ndogo (Saloon Cars) watalipa kwa shilingi 1500/= Magari aina ya Pick-Up yasiyozidi tani mbili yatalipa shilingi 2000/=, (Minibuses) mabasi madogo yanayobeba abiria wasiozidi 15 yatalipa shilingi 3000/=, Mabasi yanayobeba abiria kati ya 15 -29 yatalipia Tsh. 5000/=, Tractor ni Tsh. 7000/= << millardayo.com >>

‘Tractor yenye trailer lake hao watalipa shilingi 10,000/=, Magari yenye uzito wa tani 2 mpaka 7 watalipia 7000/=, magari yenye uzito wa tani 7 mpaka 15 watalipia 10,000/=, magari yenye uzito wa tani 15 mpaka 20 watalipia 15,000/=, magari yenye tani 20 mpaka 30 watalipia shilingi 20,000/=, Semi Trailer kama magari yanayobeba mafuta yatalipia 30,000/=, Truck Trailer watalipia shilingi 30,000/=,
 
Attachments

  • IMG-20160510-WA0016.jpg
    IMG-20160510-WA0016.jpg
    54.2 KB · Views: 83
[5/10, 16:12] Vin: ‘Kwa waendao kwa miguu wataendelea kupita bure mpaka Serikali itakapoweka utaratibu tofauti, wenye baiskeli tozo itakuwa shilingi 300/= ila kwa sasa watapita tu bure mpaka tutakapowatangazia siku ya kuanza kulipa, kwa wenye pikipiki watalipa shilingi 600/=, Baiskeli za miguu mitatu (Guta) watalipa shilingi 1500/
[5/10, 16:12] Vin: Mikokoteni watalipa shilingi 1500/=, Pikipiki za Miguu mitatu ambazo ni Bajaji watalipa Tsh. 1500/=, Gari ndogo (Saloon Cars) watalipa kwa shilingi 1500/= Magari aina ya Pick-Up yasiyozidi tani mbili yatalipa shilingi 2000/=, (Minibuses) mabasi madogo yanayobeba abiria wasiozidi 15 yatalipa shilingi 3000/=, Mabasi yanayobeba abiria kati ya 15 -29 yatalipia Tsh. 5000/=, Tractor ni Tsh. 7000/= <<
[5/10, 16:12] Vin: ‘Tractor yenye trailer lake hao watalipa shilingi 10,000/=, Magari yenye uzito wa tani 2 mpaka 7 watalipia 7000/=, magari yenye uzito wa tani 7 mpaka 15 watalipia 10,000/=, magari yenye uzito wa tani 15 mpaka 20 watalipia 15,000/=, magari yenye tani 20 mpaka 30 watalipia shilingi 20,000/=, Semi Trailer kama magari yanayobeba mafuta yatalipia 30,000/=, Truck Trailer watalipia shilingi 30,000/=,
 
Kwa tozo hizi kupita daraja sasa itakuwa luxury,kama wangefanya kautafiti kadogo tangu daraja lifunguliwe wangegundua pale ferry foleni haikuwa kikwazo pekee bali na tozo ilichangia pia,yaani siku hizi ukienda ferry asubuhi hakuna foleni kabisa lakini watu wanapitiliza kwenda darajani.
 
Huu ni upumbavu yani kwenda na kurudi 3000 bado parking town 2000 Jana nmeenda kuweka mafuta nayo nmekuta yamepanda Kwa sh 40/bila hata maelezo ya ewura... Hiv hii nchi mbona inakua na mambo ya kikuda kuda hii..?
Wabongo tumezidi kulalamika.. Tunachosa sana.. Dah.

Kama huwezi kulipia hiyo gharama, Weka gari pembeni.. Tembea kwa mguu au nunua baiskeli.

Tukumbuke daraja limejengwa kwa gharama sana.. Na njia pekee ya kuirudisha hiyo gharama ni hizo tozo. Pia daraja lazima litunzwe kwa kuwepo ukarabati mara kwa mara, kulipa wafanyakazi na uendeshaji kwa ujumla. So kulipia shilingi 1500 kwa gari ulilonunua milioni zaidi ya 5 ni sawa kabisa.. Otherwise usiliendeshe hilo gari kwa kuwa serikali haikukutuma kulinunua.
 
Du! Jamaa wewe!
 
Hivi viwango ni vikubwa sana Sumatra lazima waingilie Kati. Ilitakiwa Gari iwe shilingi 500 na hayo mengine ndio yawe elfu moja na malori 2000. Huu ni wizi wa mchana kweupe bora TRA wachukue VAT hapo. Hela zilizojenga ni za umma halafu wanatukamua kama biashara binafsi
 
Tayari Dar es salaam imeanza kufurahia urahisi wa kuvuka bahari kwa urahisi zaidi kwenye safari kati ya Kigamboni na Town Dar es salaam ambapo daraja lilivyozinduliwa tu tuliambiwa tutalipia ila hatukutajiwa bei, leo May 10 2016 ndio bei zimetajwa na unaweza kuzipata hapa chini.
Kaongea Injinia Joseph Nyamwuhanga kataja kila kitu >>>

‘Shughuli za kutoza fedha zitasimamiwa na shirika la NSSF na tumeweka tozo kwa watumiaji wa aina mbalimbali mfano Magari na Pikipiki na kila mmoja atalipa kulingana na aina ya chombo chake’
‘Kwa waendao kwa miguu wataendelea kupita bure mpaka Serikali itakapoweka utaratibu tofauti, wenye baiskeli tozo itakuwa shilingi 300/= ila kwa sasa watapita tu bure mpaka tutakapowatangazia siku ya kuanza kulipa, kwa wenye pikipiki watalipa shilingi 600/=, Baiskeli za miguu mitatu (Guta ) watalipa shilingi 1500/=’

‘Mikokoteni watalipa shilingi 1500/=, Pikipiki za Miguu mitatu ambazo ni Bajaji watalipa Tsh. 1500/=, Gari ndogo (Saloon Cars) watalipa kwa shilingi 1500/= Magari aina ya Pick-Up yasiyozidi tani mbili yatalipa shilingi 2000/=, ( Minibuses )
mabasi madogo yanayobeba abiria wasiozidi 15 yatalipa shilingi 3000/=, Mabasi yanayobeba abiria kati ya 15 -29 yatalipia Tsh. 5000/=, Tractor ni Tsh. 7000/=

Back
Top Bottom