Speech yake ilikatwa ili kubeba kiini alichokusudia msambazaji wa ile video.Magazeti bhana kwa kutunga story sasa kwenye speech yake mbona hajatatamka kuwa amefuta bali kazungumzia mfumo mpya wa kuajiri walimu
Hicho ni kipande cha speech mkuu na sio speech nzima.hapo kasema kafuta ajira wapi?
pole mkuu, ila hiyo id yako ni kibokoTumbo linaniuma wadau, nahisi kuharisha lakini siharishi
Tuwekee speech nzima mkuuHicho ni kipande cha speech mkuu na sio speech nzima.
Usiukatae ukweli.
Soma tarakimuTumbo linaniuma wadau, nahisi kuharisha lakini siharishi
Kunipata ni rahisipole mkuu, ila hiyo id yako ni kiboko
Mkuu hayo unayoyaongea umeyafikiria vema kweli au unabwatuka tu kwakuwa.........Anaajiri kwa awamu vijana punguzenı haraka. Mwanzo mlısema haajırı kabısa sasa ajıra zımeanza kutoka tena maneno yanaanza. Halafu kama waalimu wa sanaa wametosha kwenye shule za serikali awaajiri wa kazi gani?
Sasa bila transcript watajuaje kozi ulizosoma?Wengine kwenye kutuma vyeti kwa uhakiki wanatuma vyeti na transcript, ni ya lazima? ingawa kwenye barua naona hawajasema wanataka transcript pia
Mbona unalalamika sana kwani lazima serikali ikuajiri.Vyombo vya habari takriban vyote vilijitahidi kutumia kichwa cha habari cha kuvutia kama kilivyo katika uzi huu! Lakini Serikali yetu bado tu haijamwaga ajira hadi sasa kama ilivyotegemewa na wengi wao!
Hahahaha, kwani kaka naniu umemind??Sasa bila transcript watajuaje kozi ulizosoma?
Wabongo bhana vitu unavyo kwanini usitume?
Kwa taarifa yako kuanzia elimu ya chuo kama huna transcript sahau ajira
Sasa nimaindi nini wewe ndo bado unatafuta ajira, mi nilimaliza chuo miaka mingi sana saiv nafanya maishaHahahaha, kwani kaka naniu umemind??
mimi thi nimeuliza tu.
Hahah...Huku ndio kumind kwenyewe na kupoteza dira, mtu hunijui umejuaje natafuta ajira?... kijana emb jaribu kutumia elimu ulonayo kwa busara basi.. ulisoma nini mbona naona kama hakijakusaidia ulichosoma?Sasa nimaindi nini wewe ndo bado unatafuta ajira, mi nilimaliza chuo miaka mingi sana saiv nafanya maisha
Hahaha, ati unafanya maisha, anayefanya vifo nani sasa?Sasa nimaindi nini wewe ndo bado unatafuta ajira, mi nilimaliza chuo miaka mingi sana saiv nafanya maisha