Serikali yasitisha mikopo kwa watumishi wa umma kwenye mabenki, uhakiki waanza upya November 2017

Hakuna uongozi wa kijinga na wakipumbavu kama huu wa sasa, hakuna tunapoelekea, nchi imekua kama mtoto aliefeli form four na hana wazazi wala wadhamini.
 
Serikali kama kweli inaleta awamu nyingine ya uhakiki na hivyo kusitisha baadhi ya fursa za wafanyakazi kama mikopo, basi ni heri iwatie kidole wafanyakazi ili ijulikane moja kwamba haturuhisiwi kuona mbele kimaendeleo.
 
Yaani CCM mmezoea kuambiwa kila kitu na nyie mgeuke kasuku kwa kurudiaruidia. Ili mtu akopeshwe ni lazima awe na dhamana ya kazini kwake ambayo ni Slary Slip na barua toka kwa muajiri wake.

Hivi sasa Mabenki hayana hakika kama mfanyakazi anayekwenda kukopa kwao kama ni halali ama ni "Hewa". Ili kuzuia kupata hasara kwa kumkopesha mtu ambaye labda si mfanyakazi halali wa serikali, mabenki yamesimamisha kuwakopesha wafanyakazi wa serikali mpaka hapo uhakiki utakapokamilika!
Kukopesha au kutokukopesha kwa mazimgira haya kunategemea na benki husika na tawi husika! Baadhi ya matawi ya NMB yanakopesha kama kawaida kwa Wateja wake wa zamani waliowahi kukopa na bado wako kazini pamoja na songombingo za uhakiki hivyo wana uhakika nao, lakini si kwa Wateja wapya!
 
Aibu, hatukuwataka waahidi nyongeza za mishahara kwa mwezi novemba, hivyo hawana sababu ya kutafuta visingizio vya kutokuongeza mshahara! Wao wasiongeze tu hata wasipotoa sababu! Maana naona kama wanapata shida hivi!
 
Watu tunashindwa kuelewa kitu kidogo kwenye awamu ya tano - watumishi wa umma si sehemu ya Watanzania Wanyonge.
Tukielewa hilo, hakuna shida!
 
Wapi imeandikwa kuwa watumishi hawaruhusiwi kukopa kwenye mabenki?
Zimeandikwa barua za siri VETA kuzuia Pesa za likizo na pia house allowance zimefutwa kwa siri,Mkurugenzi wa Magufuli kakimbia katikati ya kikao kwa Maagizo toka so called Magogoni,walai watanzania kwa kuvumilia yote haya msatahiri kupewa tuzo ya Nobel,mna roho ya paka no wonder system iliyombeba Magufuli mpaka akajiendeleza na kuwa Rais Leo hii huyu selfish monger anavuruga kila kitu,arudi Kwao Rwanda hatumtambui.
 
Wapi imeandikwa kuwa watumishi hawaruhusiwi kukopa kwenye mabenki?
Zimeandikwa barua za siru VETA kuzuia Pesa za likizo na pia house allowance zimefutwa moja kwa situ,Mkurugenzi wa Magufuli kakimbia katikati ya kikao kwa Maahizo toka so called Magogoni,walai watanzania kwa kuvumilia yote haya msatahiri kupewa kombe la Nobel keeper,mna roho ya paka no wonder system iliyombeba Magufuli mpaka akajiendeleza na kuwa Rais Leo hii huyu selfish monger anavuruga kila kitu,arudi Kwao Rwanda hatumtambui.
 
Huyu ni mnyarw
Huyu mtu hafai kabisa. Yaani kila siku utamsikia "Tunafanya hivi, ili kusudi kuwasaidia nyinyi wanyonge." Sasa unakaa unajiuliza hao wanyonge ni akina nani, kama watumishi wameendelea kukosa nyongeza ya mishahara, wafanyabiashara wanakamuliwa kodi kubwa na wakulima wanauza mbaazi kwa kg 1 shilingi 50!? Ni nani anasaidiwa na huyu dikteta? Mbona wananchi wote kwa matabaka yao wanaumizwa tu. Huyu ilibidi akae kwa miaka miwili tu na aondoke. Ni mtu anayefurahia kuona baadhi ya makundi ya raia wanateseka. Jamaa ni "the most aggressive"
Huyu sio mtanzania ni mnyarwanda wa ukimbizini,atuonyeshe babu zake na Baba wakubwa na wadogo wako wapi,ama sivyo Magufuli nitakushtaki mwenyewe mwananchi wa kawaida na kama mnaogopa nyie mniamini kesi itanisumbua gharana lakini mjiandae kunichangia.
 
Inafaa kuulizana na kutambua hili,maana ya mnyonge na wanyonge
Huyu mtu hafai kabisa. Yaani kila siku utamsikia "Tunafanya hivi, ili kusudi kuwasaidia nyinyi wanyonge." Sasa unakaa unajiuliza hao wanyonge ni akina nani, kama watumishi wameendelea kukosa nyongeza ya mishahara, wafanyabiashara wanakamuliwa kodi kubwa na wakulima wanauza mbaazi kwa kg 1 shilingi 50!? Ni nani anasaidiwa na huyu dikteta? Mbona wananchi wote kwa matabaka yao wanaumizwa tu. Huyu ilibidi akae kwa miaka miwili tu na aondoke. Ni mtu anayefurahia kuona baadhi ya makundi ya raia wanateseka. Jamaa ni "the most aggressive"
 
Back
Top Bottom