Serikali yapiga marufuku tuzo za muziki na mashindano ya Miss Tanzania

Niliuweka huu Uzi mie ndio wa kwanza kuleta taarifa hizi Ukatolewa. Na si mara ya kwanza kutolewa nyuzi zangu humu. Nakumbuka hata Uchaguzi wa marudio Kenya nikaleta huo Uzi pia ukafutwa. Au kuna watu maalum humu wanaokubaliwa na kukataliwa kutuma baadhi ya taarifa muhimu sawa lkn nashukuru!!!!!
 
Nakumba mtu mumoya kwa yina ya Hashim Lundenga alikuwa iko faidi sn toto zuri zileeee....
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana kama kichwa cha habari kinavyo jieleeza hapo juu

Waziri wa habari sanaa na michezo amepiga marufuku uandaji wa miss Tanzania pamoja na utoaji wa tuzo mbali mbali hapa nchini baada ya kugundua tuzo hizo zimejaa ubabaishaji wa hali ya juu sana

Waziri huyo amedai kuwa kumekua kuna tabia mbaya ya waandaaji wa miss Tianzania kuchelewa kutoa zawad kwa washindi na kutoa zawadi mbaya mbaya tofauti na wanachopata wao

Hivyo amedai mtu yeyote anayetaka kuandaa miss tanzani inapaswa zawad azipeleke kwanza kwa wazir mwenyewe


Pia katika tuzo za music amedai watoaji tuzo wamekuwa wakijisikia sana na wanaandaa wasanii wachache sana na wao wamejaa nyodo sana hivyo wakinuna tu huwa hawatoi tuzo hayo siyo maneno yangu mazee ni maneno ya waziri wetu kipenzi


LONDON BABY
 
U miss ungefutwa kabisa hapa Tz kwani unaharufu ya uzinzi na uvunjaji wa tamaduni zetu kwenye swala la mavazi nakadhalika
 
Back
Top Bottom