Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,366
- 12,358
Tozo.com
MtakomaTozo.com
Tunaopigika ni watumishi wa ngazi za chini na wananchi wa kawaida wao hayawahusu haya jamani sisi walalahoi twazidi kuwa hoi.Huyu jamaa mpaka akitoka kwenye hii wizara, hakika tutakuwa tumetendea haki.
Niliwahi kuambiwa kuwa dikoda za dstv za south eti hazifanyi kazi Tanzania ukweli upoje? Naomba elimu kuna jambo nataka kufanyawaziri wa fedha mwiguru mchemba jana alitoa bajeti yake na pale bungeni kwa "Napendekeza Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Kuanzisha utaratibu wa kutoza ada ya shilingi 1,000 hadi 3,000 kwenye ada ya matumizi ya king’amuzi kulingana na kiwango cha matumizi" -@mwigulunchemba1 ,Waziri wa Fedha na Mipango.
ila ni jambo la kushangaza sasa kodi mpaka kwenye Tv watu kuangalia.
asilimia kubwa ya watu sasa mfano ving'amuzi vya DSTV wanaagiza south africa na malipo mazuri kwa mwezi ukilinganisha na matozo yaliyopo DSTV za hapa.
hii ni moja ya mfano ving'amuzi ila utandawazi wa teknolojia na kukandamiza wananchi tambueni tutaacha kutumia matumizi ya ndani.
sasa kunateknolojia kama mawasiliano ya setelite,internet za setelite na ili.
we pandisha weka tozo ila soko la hapa unaliua kwa wananchi wanyongeView attachment 2261458
Ndo akili ya watanzania kudeal na spika badala ya kuchunguza unakotokea wayaNilichogundua tunamuonea bure Mwigulu, kuna watu wapo nyuma ya hizi kodi na tozo ili kuendesha nchi.
Wakati vyanzo vya uhakika kama bandari, madini,, Bahari na misitu havizungumziwi kwa msisitizo sababu ni zimefanywa mali za watu binafsi.
Mwigulu yupo kama pazia tu, hana nguvu, na hawawezi weka mtu wao achafuke sababu wanayoyafanya ni udhalimu na uchafu.
Niliwahi kuambiwa kuwa dikoda za dstv za south eti hazifanyi kazi Tanzania ukweli upoje? Naomba elimu kuna jambo nataka kufanya
Napendekeza magari ya wabunge ( Land cruiser VX V8 za milioni 300 wanazotumia na za mawaziri nazo zilipiwe kodi ya sh.100,000/= kwa mwezi kwa kila gari.Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba, leo akiwasilisha Bajeti ya serikali ya 2022/2023 Bungeni, amependekeza kuongezwa chanzo kipya cha Mapato, ambacho ni VING'AMUZI VYA TV .
Waziri ameomba kodi hiyo ya ving'amuzi iwe kati ya Shilingi elfu moja na elfu tatu kwa mwezi .
Toa Maoni yako.
[emoji38][emoji38][emoji38]Hapa Kuna agenda ya kumharibia mama!
unataka kulogwa ?Napendekeza magari ya wabunge ( Land cruiser VX V8 za milioni 300 wanazotumia na za mawaziri nazo zilipiwe kodi ya sh.100,000/= kwa mwezi kwa kila gari.
This man should be
watched closely.
Hana ubunifu at all.
Ni tozo tozo tozo.....