Serikali yaonya matumizi ya picha za Marais Wastaafu wa awamu za 2, 3 na 4

Rais magufuli Léo amesema amesoma ripoti nzima n'a hajaona Mahali walipotajwa mkapa n'a kikwete
Na amesema waachwe wapumzike kwa kuwa walifanya kazi kubwa kulitumikia taifa

Nini maoni yako

Chanzo Chanel ten
 
Nchi za wenzetu hata ukifanya kosa leo uwe ni Rais, uwe Jaji - wewe ni ndani. Nchi za kiafrika kuna ka kulindana-lindana ambako ndiko kanatutafuna.
 
Tukihoji umakini na udhati wa vita/kampeni kwenye baadhi ya mambo tunastahili kusikilizwa.

NB:Mleta mada kichwa hakiendani na maudhui ndani ya waraka husika. Lakini hiyo content still inaacha taswira tata ya nia na mbinu za vita hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…