Serikali yangu itawawezesha wafanyabishara kununua mashine za kuchonga vipuri mbalimbali

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
4,124
Reaction score
6,141
Mfano wa hizo mashine ni kama zifuatazo;-
1-Die Casting Machine
• CNC Wire EDM Machines:
• CNC Electric Discharge Machines (EDM)
• CNC Milling Machines:
• CNC Lathes:
• CNC Routers:
• CNC Plasma Cutters:
• CNC Laser Cutters
• CNC 3D Printers:
• CNC Electric Discharge Machines (EDM):

2-Extrusion moulding machine
3-Injection moulding machine
3-Welding robotics
4-Army robotics
5-Hizo ni baadhi tu na nyingine nyingi

Na kupitia VETA itatoa mafunzo namna ya kuoperate hizo machine kwa vijana wa kitanzania lengo ni kuondoa utegemezi wa External expertise kama wahindi na wachina
 
Mh Raisi hapa umenigusa.

Tunakiwanda tuko kwenye harakat kukifungua ila sasa changamoto ni material.

Tukiagiza kutoka nje itafanya cost ya production iongeze.
Raw Material yake (ingawa lazima ufanye recycle) ziko hapa Tz, ila sasa recycle yake inahitaj hizo mashine za Moulding.

Tutengeneze bidhaa wenyewe tuache utegemezi kwenye kila kitu.
Tutafika nina amini.
 
Kila la kheri ndugu, huyu jamaa huwa namuonaga yupo sahihi sana..ni vile, tumefundishwa kufikiria sawa..hatuna kutwist mind zetu
 
Mh Raisi hapa umenigusa.

Tunakiwanda tuko kwenye harakat kukifungua ila sasa changamoto ni material.

Tukiagiza kutoka nje itafanya cost ya production iongeze.
Raw Material yake (ingawa lazima ufanye recycle) ziko hapa Tz, ila sasa recycle yake inahitaj hizo mashine za Moulding.

Tutengeneze bidhaa wenyewe tuache utegemezi kwenye kila kitu.
Tutafika nina amini.
Watu kama nyie na wengine wengi mtawezeshwa to the fullest
 
Mh Raisi hapa umenigusa.

Tunakiwanda tuko kwenye harakat kukifungua ila sasa changamoto ni material.

Tukiagiza kutoka nje itafanya cost ya production iongeze.
Raw Material yake (ingawa lazima ufanye recycle) ziko hapa Tz, ila sasa recycle yake inahitaj hizo mashine za Moulding.

Tutengeneze bidhaa wenyewe tuache utegemezi kwenye kila kitu.
Tutafika nina amini.

Kwenye huu uzi nimeongelea kuzalisha raw Material za plastic
 
View attachment 3340870
Mfano wa hizo mashine ni kama zifuatazo;-
1-Die Casting Machine
• CNC Wire EDM Machines:
• CNC Electric Discharge Machines (EDM)
• CNC Milling Machines:
• CNC Lathes:
• CNC Routers:
• CNC Plasma Cutters:
• CNC Laser Cutters
• CNC 3D Printers:
• CNC Electric Discharge Machines (EDM):

2-Extrusion moulding machine
3-Injection moulding machine
3-Welding robotics
4-Army robotics
5-Hizo ni baadhi tu na nyingine nyingi

Na kupitia VETA itatoa mafunzo namna ya kuoperate hizo machine kwa vijana wa kitanzania lengo ni kuondoa utegemezi wa External expertise kama wahindi na wachina
Bro ukisubiria hadi uwe na serikali yako utachelewa sana..

Una theories nyingi sana za kusadikika, tafuta moja ya maana uifanye na ikusaidie wewe na vizazi vyako..

Usijali sana kuhusu nchi, kila mtu atapambana kivyake!
 
Hiyo ni njia yako
mpaka nasema kwanini ntafanya nikiwa Rais najua kwanini nasema hivyo na kamwe wewe huwezi nielewa
 
Eeeh hii leo Mh. Umenigusa maana ukienda hata vyuo vya kati bado machine ni duni mno hili wazo lako mujarabu kabisa.
Ntahakikisha mashine operator na production manager wanatoka Tanzania na sio India au china kama ilivyo sahivi

Sisi ndo wakutoa machine operator kwa nchi nyingine
 
Weka bei zake basi ili tuone
Mfano hii
1714739925954.jpeg
mfano hii die casting mashine ambayo ni tani 12 ni euro million 14,500,000 kwa exchange rate ni almost tsh billion 30
 
Kijana wangu amekua na ndoto ya kumiliki Lathe n Milling Machine.
Tulipo angalia bei ya hizo mbili za mtumba, tulipata kwa karibu 79,000,000Tsh
 
Serikali inatakiwa ku-support watu kama nyie sababu mnalengo la kufanya uzalishaji moja ya changamoto kubwa sana ya uchumi wa Tanzania hauzalishi mwisho wa siku tuna-import sana hilo ni tatizo ambalo mimi nikiwa Rais ntapambana nalo
 
View attachment 3340870
Mfano wa hizo mashine ni kama zifuatazo;-
1-Die Casting Machine
• CNC Wire EDM Machines:
• CNC Electric Discharge Machines (EDM)
• CNC Milling Machines:
• CNC Lathes:
• CNC Routers:
• CNC Plasma Cutters:
• CNC Laser Cutters
• CNC 3D Printers:
• CNC Electric Discharge Machines (EDM):

2-Extrusion moulding machine
3-Injection moulding machine
3-Welding robotics
4-Army robotics
5-Hizo ni baadhi tu na nyingine nyingi

Na kupitia VETA itatoa mafunzo namna ya kuoperate hizo machine kwa vijana wa kitanzania lengo ni kuondoa utegemezi wa External expertise kama wahindi na wachina
Ni vile tu ukiwa na IQ kubwa, wale wenye IQ ndogo wanakuona kama umechanganyikiwa.

Binafsi nakubalia na wazo lako la kuikomboa Tanzania kifikra
 
Back
Top Bottom