"Serikali Yangu Haitakuwa Ya Michakato" ~ Aaah Wapi..!!!

Kigodoro

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
1,660
1,679
Hii Ilikuwa Gia Tu Ya Kuingilia Ikulu.
>Mbona unachakata wafanyakazi hewa hadi leo? mwaka wa pili sasa. ajira hamtoi, nyongeza ya mishahara hamtoi, n.k kisa mchakato wa kuwabaini wafanyakazi hewa unaendelea.
>mbona faru john hadi leo mnamchakata?
>mbona mil 50 kila kijiji bado mnachakata namna ya kuzigawa. madai yenu eti mabilion ya jk yalipotea, hivyo mamilioni yenu mnayachakata vizuri. au ni kisingizio tu.

pia jpm alisikika akisema, serikali yangu mtumishi akiharibu kituo A simhamishii kituo B. Wapi bwana!!

Angalia Mifano Hii
Anna Kilango (RC) sasa mbunge
Prof Yunus Mgaya (tcu) sasa NIMR
Dr Dau {nssf) sasa balozi

ongezea na ww msomaji. mm naishia hapa. magufuli alitudanganya.
 
....Hela zenyewe zinaitwa mkopo.....
.... Mpaka anakwenda chuo, bado hajapata mkopo... ina maana hawakujipanga

YEYE LEO HADI WA MWAKA WA MWISHO WAMEONDOLEWA CHUO KISA MIKOPO.
 
Tofautisha kampeni na Kutawala bro! They are distant cousins!
 
Back
Top Bottom