Serikali yangu haijanitendea haki

Sijakubaliana na nyie,
Why not hata 50%?
Ilikuwa na maana gani kuweka priorty kwenye kitabu chenu cha tcu?

Kama mmeweza kumpa Mwanaasha 100% why not akapata 50% na 50% akapewa mwingine.

 
Unataka kusema hamkujuwa kuwa fom six leavers watakuwa wangapi?
Ni kwanini kupoteza hela nyingi JKT wakati mnajuwa kuwa pesa hakuna;
Kwa hiyo baada ya kutoka JKT na chuo hakuna mnataka kusema hawa vijana wawe wezi?
au wakabaji huku mtaani?

Ina maana gani kutilia mkazo shule zenu za kata wakati mkijua kabisa kuwa hakuna future kwa hawa vijana?

 
Inamaana hizo 7000 ulizokusanya hazijatosha kulipa ada??

Ongeza idadi ya posts
 
Nimeukumbuka uzi wangu leo;
Naona siku zinasonga, Serikali nayo imekaa kimya.
Sasa naanza vikao vya kuchangia ada.
 
Kama mamndenyi umelioba hili kilichobakia nikuikataa serikali ya hawa Ccm njoo ktk ukombozi ulio tukuka karibu sana UKAWA
 
Hivi hiyo ukawa itanisomeshea binti yangu?
Namtafuta KAWAMBWA niseme naye hapa.
Kama mamndenyi umelioba hili kilichobakia nikuikataa serikali ya hawa Ccm njoo ktk ukombozi ulio tukuka karibu sana UKAWA
 
Sisi amabao nduguzetu wana vigezo na hawakupata mkopo,alafu sisi sio makada na hatuna connections wala kufahamiana na magamba yeyote tutauona moto...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…