Sema na wewe Mamndenyi mara nyingi umekuwa mtetezi wa hawa wahuni na mafisadi sasa leo yamekukuta. Pole sana waonyeshe jinsi unavyowatetea humu ndani labda wanaweza kukuona damu damu na kuamua wabadili maamuzi yao. Vinginevyo mtumie yule kingunge wa MACCM aliye nchi za nje akupigiea debe kwa watu wake...you know what I am talking about...ukiendelea kuwaunga mkono kama binti asipopata mkopo nitakushangaa sana. Ni hayo tu na usisahau mrejesho. Pole sana usinune sana unaweza kuja pasuka bure.
Amechagua kozi ya priorty. Na kapangiwa hiyo hiyo. Kweli asipewe hata single cent. Hii nchi imekuwaje.

Kipaumbele ni kwa wanao chukua ualimu au course za ya sayansi!
Kuna vigezo vingi vinaangaliwa si kwasababu tuu amesoma shule ya kayumba!
Kuna course za vipaumbele!
Sidhani kama ni kweli maana wengi niliowaona na pia mdogo wangu naye kapata mkopo walichagua priorities course!!kama imetokea mtoto wako hajapata kuna walakini hapo!!nenda bodi ya mikopo nadhani watakuelewa na watakutatulia hilo tatizo