mhe. shekifu,amelaumu waandishi wa habari kuwa makini wakati wanapoletewa habari kabla ya kuiandika,
MZee mwanakijiji,wewe takwimu ulipewa na nani?
kwa roho safi,wanabodi naomba tufuatilie hili tujue nani anasema uongo,
sitaki kuamini mchungaji magafu alipotosha jamii,