Serikali yamjibu Mh Lowassa kisaikolojia!

Hata jana ENL alirudia maneno hayo ya vijana na ajira! Nadhani waziri amejibu kufuatia alichosema jana ama juzi.

ccm has left many untied loose ends, worse enough many of those loose ends ccm does not even know them! Coz it is blinded by corruption and 'ndio mzee' deases.
It is too late now to tie them, EL knows them, they can only bit him 'fire fighting' style.
Ccm shoud note tha this generation stones fire fighters who appear at the scene too late!

Kabaka anakuja kuzima moto wakati nyumba isha ungua!
Wajinga ni wengi na ndio mtaji wa ccm, hao tu ndio watakao amini kauli ya kabaka.

Pamoja na mapungufu yote ya EL lakini ameongea point na kwa kweli yuko sahihi kwa hili.

The strenght of upinzani in most african countries is directly proportional to unemployment.

Ccm government should should take EL presentation positively as an OTI, an oportunity to improve.

Hivi hawa mawaziri walitoka na nini shuleni?
Kwann wanajihami kwa kila jambo?
Wanajisikiaje wakikaa nyumbani kwao na familia zao juu ya utendaji wao na responce zao kwenye national issues kama hizi?
 
Lowasa anatafuta ungwaji mkono wa vijana hana lolote huyo fisadi mwandamizi, asifikiri tumesahau ufisadi wake,atapata urais endapo tu kura zitapigwa na Joshua wa nigeria.
 
Lowassa sasa aje na mikakati ya kutegua hilo bomu,askari haishii kuonesha bomu sehem lililopo anapaswa pia ashiriki kutegua,lakin akumbuke mabom yako mengi yakianza kulipuka hapakaliki but bom kubwa kuliko yote ni la kuiba kura hilo likilipuka linakuwa ndo switch ya kulipua mengine,msisahau kumuuliza kapten vipi yale ya kwenye sabun na taulo yanaitwaje?
 
EL amekwisha sema na yakaandikwa hii ya Kabakwa siyo habari tena! by Wassira a.k.a Sokwe wa Mahale!
 
Siku hizi anajifanya anawajali sana vijana. Amejua lini kuwa vijana wanahitaji ajira? Tumuulize bilioni 111 tunazodaiwa na RICHMOND/DOWANS zingetoa ajira ngapi za vijana? naona speed yake ya kujifanya anauchungu na vijana inaongezeka kila tunapozidi kuikaribia 2015.
mkuu Chintu natumaini umesoma na kuelimika. hizi bilioni 111 na riba ikizidi kuongozeka tutalipa kwasababu ya mashujaa wako Sitta na Mwakyembe! Ni ulofa wetu kuendekeza watu wanaopigania urais,sisi tukidhani ni mashujaa wetu!
 
Lowasa anatafuta ungwaji mkono wa vijana hana lolote huyo fisadi mwandamizi, asifikiri tumesahau ufisadi wake,atapata urais endapo tu kura zitapigwa na Joshua wa nigeria.

Kama kweli ELN alitabiriwa na T. B. Joshua amini usiamini yatatimia. Vile vile hatuchagui rais mtakatifu kwenda ikulu. Zuma alikuwa na kashfa za ufisadi na ufuska tena wa kufanya mapenzi na mwanaharakati muathirika wa ukimwi lakini kwa kuwa ilikuwa imeandikwa basi aliupata urais wa Afrika ya Kusini. Kama tutakuwa hai utanikumbusha hii thread.
 
kweli serikali ya ccm hamnazo, yani wakat wanatoa mikopo kwa wanafunzi elimu ya juu nilidhan walikuwa wamejipanga ili wasomi hao wakimaliza waingie kwenye ajira serikalin tena kwa lazima mpaka den la mkopo liishe na anayetaka kutoka serikalin sharti alipe mkopo kwanza. Wangefanya hivyo si wangepunguza tatizo la ajira na migomo ya vijana elimu ya juu wanaodai mikopo kila kukicha. Yani CCM ni vilaza sijapata kuona akili za kwao wenyewe hawana hata za ku copy na ku paste hawawezi. Wavivu wa kufikiri na mawazo yao ni finyo tena mgando.
 
Back
Top Bottom