Serikali yamfungia Msanii kwa kuweka picha ya utupu Mtandaoni, na BASATA yawataka watayarishaji wa Muziki wajisajili

tuachane na yote ila huyo binti kaumbika jamani mnyonge mnyongeni ila sifa zake mpeni
 
Tatizo waafrika hawajui mila zao na utamaduni. Labda huyo waziri sijui katumia mila zipi hizo za kitanzania??
So hawa hawana maadili.
c2bf35112adbc770c78e94a5ed33c68a.jpg
Tamaduni zao chini ya mfalme mswati zinarusu hayo. Ndio maana tunasisitiza utamaduni wa mtanzania. Hawa akina dada wanaiga sana western culture, japo hata huko west na kwenyewe huwakuti wakitumia mitandao ya kijamii kufanya ujinga huu. Huko wanakoiga Wanaonyesha maungo kwenye maeneo maalum kwa kazi hiyo. Tena kwao na sheria ni kali zaidi hata si tu kujiweka uchi bali hata kuwapa watoto wadogo vilevi. Ndicho mhehimiwa rais anachosema, waende maendeo maalum kama ya maonyesho, kumbi za starehe wakavue hata nguo zote watazamaji na mashabiki wao wafurahie nyuchi zao huko. Sio public kama wanavyofanya.
 
Wewe una mapepo nini??

Hivi huyo magufuli ndio anashughulika na jinsi watu wanavyovaaa?

Akili za kinyumbu kabisa hizi!
Nani nyumbu???muulize mzazi wako vizuri hakuwahi kupita maeneo yangu maana watoto kama nyie nilowasahu ninao wengi
 
Tamaduni zao chini ya mfalme mswati zinarusu hayo. Ndio maana tunasisitiza utamaduni wa mtanzania. Hawa akina dada wanaiga sana western culture, japo hata huko west na kwenyewe huwakuti wakitumia mitandao ya kijamii kufanya ujinga huu. Huko wanakoiga Wanaonyesha maungo kwenye maeneo maalum kwa kazi hiyo. Tena kwao na sheria ni kali zaidi hata si tu kujiweka uchi bali hata kuwapa watoto wadogo vilevi. Ndicho mhehimiwa rais anachosema, waende maendeo maalum kama ya maonyesho, kumbi za starehe wakavue hata nguo zote watazamaji na mashabiki wao wafurahie nyuchi zao huko. Sio public kama wanavyofanya.
Hao wadada hawapo uchi. Nenda instagram pages za mastaa wa USA huko unaposema ndo utachoka. Hizo nchi unazosema wamekataza picha za utupu kwenye mitandao ila picha za utupu sio hizo za hao wadada wanazopost.
 
mnaopinga kuwa hizo picha sio za uchi ni upumbafu [HASHTAG]#assume[/HASHTAG] ni mwanao,tuache ulimbuken na ushabiki wa kijinga

Usihangaike na hawa vijana wa mwendo kasi,hapo raha yao nikufurahisha macho ndiyo maana wanaona kaonewa.lakini kiuhalisia huyo binti kaonyesha utupu.
 
Yule aliyevishwa Pete ya Uchumba na mwanamke mwenzie ambaye ni.........mbona hakusema kitu? Hakuna picha ya uchi hapo.
 
Hongera sana Naibu Waziri. Hawa binti zetu tumeonya tumechoka. Kwa kweli hata TV na magazeti unakagua kwanza maana unaweza kutana na picha yake ya hivyo. Laana kabisa kizazi cha zinaa hiki!
 
Watz, unafananisha USA na TZ? Wale wanauhuru tangu karne ya 18 uko na kwa Taarifa yako ile ni "dunia" nyingine kabisa!
 
Back
Top Bottom