Wakuu nasikiliza ITV kwa sasa naona wananchi wa karatu wanampongeza waziri wa maji prf jumanne maghembe kwa kuwapatia huduma ya maji katika eneo hilo,wakionekana ni watu wenye furaha wakaazi wa karatu wamebainisha kuwa baada ya kukosa maji kwa mda mrefu hatimaye imewakumbuka na kuwapatia maji ambayo ilikuwa ni kelo namba moja ktk eneo hilo kwa mda mrefu,maji hayo ambayo yametokana na kisima kirefu kilichochimbwa na serikali imewapa faraja sana wakaazi hao huku wakimwaga sifa kwa chama cha mapinduzi na serikali yake.Rai yangu kwa maghembe asiishie karatu aendelee kwenye maeneo yote yenye shida ya maji.
Dhaifu ni wewe na chadema ambayo mmewadanganya wananchi miaka 20 mmeishia kufisadi miradi ya maji na kuifana ni biashara binafsiSerikali daifu inapowajibika kwa wananchi haipaswi kusifiwa kwani pesa ni za wananchi wanachotakiwa wananchi wa karatu wamuulize prof magembe zile pesa za uswisw zinarudishwa lini ili visima vingi zaidi vichimbwe. Hata hivyo ajue mwelekeo wa kura haubadiliki cdma kwenda mbele
Wakuu nasikiliza ITV kwa sasa naona wananchi wa karatu wanampongeza waziri wa maji prf jumanne maghembe kwa kuwapatia huduma ya maji katika eneo hilo,wakionekana ni watu wenye furaha wakaazi wa karatu wamebainisha kuwa baada ya kukosa maji kwa mda mrefu hatimaye imewakumbuka na kuwapatia maji ambayo ilikuwa ni kelo namba moja ktk eneo hilo kwa mda mrefu,maji hayo ambayo yametokana na kisima kirefu kilichochimbwa na serikali imewapa faraja sana wakaazi hao huku wakimwaga sifa kwa chama cha mapinduzi na serikali yake.Rai yangu kwa maghembe asiishie karatu aendelee kwenye maeneo yote yenye shida ya maji.
Miaka 15 ya ubunge wa dr slaa karatu na hii ya sasa ya israeli natse wakitokea chadema hakuna walichokifanya cha maana
Hongera serikali ya ccm kwa kuwajali wananchi wako
Miaka 15 ya ubunge wa dr slaa karatu na hii ya sasa ya israeli natse wakitokea chadema hakuna walichokifanya cha maana
Serikali daifu inapowajibika kwa wananchi haipaswi kusifiwa kwani pesa ni za wananchi wanachotakiwa wananchi wa karatu wamuulize prof magembe zile pesa za uswisw zinarudishwa lini ili visima vingi zaidi vichimbwe. Hata hivyo ajue mwelekeo wa kura haubadiliki cdma kwenda mbele