Serikali yamaliza tatizo la maji Karatu

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Wakuu nasikiliza ITV kwa sasa naona wananchi wa karatu wanampongeza waziri wa maji prf jumanne maghembe kwa kuwapatia huduma ya maji katika eneo hilo,wakionekana ni watu wenye furaha wakaazi wa karatu wamebainisha kuwa baada ya kukosa maji kwa mda mrefu hatimaye imewakumbuka na kuwapatia maji ambayo ilikuwa ni kelo namba moja ktk eneo hilo kwa mda mrefu,maji hayo ambayo yametokana na kisima kirefu kilichochimbwa na serikali imewapa faraja sana wakaazi hao huku wakimwaga sifa kwa chama cha mapinduzi na serikali yake.Rai yangu kwa maghembe asiishie karatu aendelee kwenye maeneo yote yenye shida ya maji.
 
Serikali daifu inapowajibika kwa wananchi haipaswi kusifiwa kwani pesa ni za wananchi wanachotakiwa wananchi wa karatu wamuulize prof magembe zile pesa za uswisw zinarudishwa lini ili visima vingi zaidi vichimbwe. Hata hivyo ajue mwelekeo wa kura haubadiliki cdma kwenda mbele
 
Miaka 15 ya ubunge wa dr slaa karatu na hii ya sasa ya israeli natse wakitokea chadema hakuna walichokifanya cha maana
 
Dhaifu ni wewe na chadema ambayo mmewadanganya wananchi miaka 20 mmeishia kufisadi miradi ya maji na kuifana ni biashara binafsi
 
Kuna kashfa iliibuka hapa ktkt kuwa dr slaa amejimilikisha mradi wa maji karatu huku wananchi wakiteseka kumbe ilikuwa hali mbaya hivi kwa jamii ya wanakaratu
 
Wakuu nasikiliza ITV kwa sasa naona wananchi wa karatu wanampongeza waziri wa maji prf jumanne maghembe kwa kuwapatia huduma ya maji katika eneo hilo,wakionekana ni watu wenye furaha wakaazi wa karatu wamebainisha kuwa baada ya kukosa maji kwa mda mrefu hatimaye imewakumbuka na kuwapatia maji ambayo ilikuwa ni kelo namba moja ktk eneo hilo kwa mda mrefu,maji hayo ambayo yametokana na kisima kirefu kilichochimbwa na serikali imewapa faraja sana wakaazi hao huku wakimwaga sifa kwa chama cha mapinduzi na serikali yake.Rai yangu kwa maghembe asiishie karatu aendelee kwenye maeneo yote yenye shida ya maji.

Isije ikawa ni ule mradi wa Benki ya dunia wa vijiji 10 katika baadhi ya wilaya teule.
Kama ni hivyo fungu mpaka la kusafisha eneo la kisima linatoka nje, Hakuna mchango wa serikali zaidi ya kupokea hizo fedha na kuzifikisha panapohusika.
 
Miaka 15 ya ubunge wa dr slaa karatu na hii ya sasa ya israeli natse wakitokea chadema hakuna walichokifanya cha maana

Waulize wakazi wa Manzese darajani, Baada ya kuchagua upinzani nini kiliwapata?.
Sijawahi kuona serikali ya kitoto kama hii. Wanasema wananchi wako huru kuchagua wanaemtaka lakini akichaguliwa upinzani miradi yote hadi ruzuku zinahamishwa eneo ili kuwakomoa. Kijiji jirani tu hapa niliko wamechagua mwenyekiti wa kitongoji jirani Cha kushangaza Bara bara ya wilaya inakatiza kijiji hicho wakachonga kote na kuvuka kijisehemu cha kitongoji hicho. Ila nashukuru wananchi wanazidi kuona kuwa kumbe shida sio wapinzani hawawezi kuleta maendeleo bali aliyoko madarakani anafanya kukomoa.
Poor Vision and community mission at work.
 
Hongera serikali ya ccm kwa kuwajali wananchi wako

Miaka 50 madarakani, Bado hata visima vinatushinda. Umemuona jamaa anavyoshangaa huko singapore!!!!!, Huku maafisa ardhi ni kuuza maendeo ya wazi kwa kwenda mbele, Kukupimia kiwanja usipowakatia hawaji ng'oo na mishahara ni motisha za kuajiriwa tu.
 
Hii serikali hii walaaniwe wote walio madarakani namungu awabariki wapinzani wote kasoro waliberali kama sii kelele za Dr Slaa na Mch Natse kamwe wasingechimba hongereni makamanda mmewapigia kelele wameogopa kula hizo hela za world Bank sasa watakula m.vi yao wezi hao.Mungu ibariki Chadema Mungu tubariki wana Karatu na kamwe hatutakusahau Dr slaa.
 
Miaka 15 ya ubunge wa dr slaa karatu na hii ya sasa ya israeli natse wakitokea chadema hakuna walichokifanya cha maana

Kwanza wewe si wa karatu hujui lolote tuulize sisi tunaishi hapa kenge wewe hapa ni chadema milele maji ni yetu mwambie magembe mbona jimboni kwake hamna maji asanteni Word Bank asanteni Dr Slaa na Natse kwakusimamia haya majambazi yakashindwa kula.ccm bye bye kushney
 
Hongera vhadema, hongera dr.slaa, hongera mch.natse.karatu oyeeee! Chadema oyeee! Pipoz power!
 
wanakaratu wana faida moja kubwa elimu ya uraia iliyotolewa na dr slaa wanaelewa wajibu wa serikali ni kuwaletea huduma za jamii kama unabisha mwambie yeyote ndani ya ccm aje agombee kara2 saa 6 mchana cdm kura zao zimeshatosha
 
Serikali daifu inapowajibika kwa wananchi haipaswi kusifiwa kwani pesa ni za wananchi wanachotakiwa wananchi wa karatu wamuulize prof magembe zile pesa za uswisw zinarudishwa lini ili visima vingi zaidi vichimbwe. Hata hivyo ajue mwelekeo wa kura haubadiliki cdma kwenda mbele

wakusifiwa ni mama yako basi
 
Nnavyojua yule mbunge aliyemtangulia Slaa aliposhindwa kuleta maji aliwaambia Wanakaratu MNAFIKIRI "MAJI YANATOKA KAMA MIKOJO YENU"
Kuanzia hapo ccm bye na alipokuja Slaa maji yakaanza kutoka mjini karatu hivo bado wananchi wana imani kubwa na viongozi wa cdm.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom