BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,015
Huyu Jamaa kaitia hasara kubwa sana nchi yetu kuliko mtu yeyote mwingine. Tangu aingie Serikalini zaidi ya miaka 20 iliyopita hasara aliyoingiza kwa Taifa inaweza kabisa kufika 1 trillion. Kuna samaki wake, kuna ufisadi wa bilioni 227, kuna ufisadi wa kivuko uozo, kubomoa jengo la Tanesco 1.3 billion, samaki wa magufuli, pangaboi kukamatwa Canada $41 million (Sijui kama tutaambiwa ni kiasi gani kilicholipwa kwa walikuwa wakishikilia ndege ile)
Haha, madeni yote ya Baba Jesca hayo...alipewa hela za kujengea barabara yeye akazipiga na akina Kitwanga na Modestus Kipilimba kutafutia Urais