Good nightKwa kweli ni aibu!
Mkuu bichwa sio rizki yule hata mainz ya kijan yanakiri yameingia mkenge ila wafanyeje!Hii awamu ina gundu
Wameomba tayari mali zetu zilizoko marekani ziwe default.Waendelee kudai tu watalipwa ila wasikamate ndege zetu
Gd9tGood night
Wafukue tu kwani mlipoyasababisha na serikali ya ccm mlitushirikisha cdm? Mlikuwa mnashauriwa mnapuuza. Tukieni sindano ziingie iwe aibu kwenu na mtazomewa kama mazimwi duniani kote isipokuwa rwanda uganda na burundiKwa kweli ni aibu!
WataisomaTutawalipa mwezi wa NNE mwishoni
Mbona makusanyo ya kodi yamepaa kama rocket,
Tuna hela nyingi na hata deni la taifa si mnaona linapungua???
Uko mjinga eeh? Habari hasi ndo nini? Nakuukiza ww una akili? Yaani huu ujinga unataka tunyamaze? Hii aibu tunyamaze? Tutaongea na acha wakamate tujifunze kuchagua rais makini.Mnafikiri kukaa kila kukicha kutafuta habari hasi ndio mtashinda uchaguzi na kwenda Ikulu?
Soma uelewe nani kaongelea ndege hapa? Au kisa kaguswa baba yako?Leo mtaleta sana vihabari uchwara lakini ndege iko njiani inakuja TZ poleni sana najua inawauma sana!!
Ni njema zaidi kwa wale wanaliingizia hasara taifa kwa makusudiHabari njema hii kwa watu wale.
Upuuzi mtupu.Uko mjinga eeh? Habari hasi ndo nini? Nakuukiza ww una akili? Yaani huu ujinga unataka tunyamaze? Hii aibu tunyamaze? Tutaongea na acha wakamate tujifunze kuchagua rais makini.
Hata kama wana maslahi ni ccm. Halafu deni linakuwa baya kama huendi kujadiliana na badala yake unakacha. Na unajua watakamata hadi meza za balozi zetu majuu, magari, mpaka peaa zao zitimiehaya madeni hatukuyasikia hapo awali au kuna watanzania wanamaslahi?
We kilema kweliWatamkamata ma...m aako
Wakamate kila kitu maana ccm tu ndo wanufaika, wengine yetu gerezaKampuni ya ujenzi ya Konoike ya Japan imeiomba mahakama ya Washington DC, Marekani kuziwekea ‘defaults’ taasisi kadhaa za serikali ya Tanzania kutokana na kupuuzwa kwa hukumu ya malipo ya dola milioni 60 kwa kampuni hiyo, lakini serikali ya Tanzania imekuwa haitokei mahakamani.
Kampuni hiyo imeeleza kuwa iliwasiliana na Wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania Oktoba mwaka jana, na wanasheria wa Wizara hiyo walikiri kufahamu kuhusu kutakiwa kulipwa fedha hizo lakini wakaamua kupuuza.
Konoike imeeleza kuwa serikali ya Tanzania ililipa dola 11.3 mwezi uliopita kufuatia ushauri wa kisheria uliotolewa jijini London, Uingereza, lakini kiasi hicho kilikuwa kidogo mno kulinganisha na kiwango halisi kinachopaswa kulipwa pamoja na riba, yaani dola milioni 65 tangu hukumu ilipotolewa Februari mwaka jana.
Katika hukumu hiyo, Wakala wa Barabara (TANROADS), Wizara ya Ujenzi, na taasisi nyingine za serikali ziliingia mkataba na kampuni nyingine kumalizia ujenzi wa barabara ya maili 79 baada ya Konoike kutoa notisi ya kuvunja mkataba.
Serikali ya Tanzania inadai kuwa malipo hayo ya dola milioni 11.3 ndio ya mwisho baada ya kukata kodi iliyokuwa ikidaiwa tangu mwaka 2016. Konoike inasema dai hilo si halali wala la kweli.
Kujua taarifa za nchi yetu na pesa zetu zinavyotumika vibayaAma kweli ,siamini kama utimamu kichwani mwako,habari hii inafaidisha kitu gani familia yako ? Na ukoo wenu ?,
Hivi wakandarasi wa Tz wanafanyaga nini? Kazi hizi za ujenzi zingekuwa zinafanywa na wakandarasi wa ndani.Kampuni ya ujenzi ya Konoike ya Japan imeiomba mahakama ya Washington DC, Marekani kuziwekea ‘defaults’ taasisi kadhaa za serikali ya Tanzania kutokana na kupuuzwa kwa hukumu ya malipo ya dola milioni 60 kwa kampuni hiyo, lakini serikali ya Tanzania imekuwa haitokei mahakamani.
Kampuni hiyo imeeleza kuwa iliwasiliana na Wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania Oktoba mwaka jana, na wanasheria wa Wizara hiyo walikiri kufahamu kuhusu kutakiwa kulipwa fedha hizo lakini wakaamua kupuuza.
Konoike imeeleza kuwa serikali ya Tanzania ililipa dola 11.3 mwezi uliopita kufuatia ushauri wa kisheria uliotolewa jijini London, Uingereza, lakini kiasi hicho kilikuwa kidogo mno kulinganisha na kiwango halisi kinachopaswa kulipwa pamoja na riba, yaani dola milioni 65 tangu hukumu ilipotolewa Februari mwaka jana.
Katika hukumu hiyo, Wakala wa Barabara (TANROADS), Wizara ya Ujenzi, na taasisi nyingine za serikali ziliingia mkataba na kampuni nyingine kumalizia ujenzi wa barabara ya maili 79 baada ya Konoike kutoa notisi ya kuvunja mkataba.
Serikali ya Tanzania inadai kuwa malipo hayo ya dola milioni 11.3 ndio ya mwisho baada ya kukata kodi iliyokuwa ikidaiwa tangu mwaka 2016. Konoike inasema dai hilo si halali wala la kweli.
Si aka kajamaa wanakaita Dr. ...... Kana Phd nasikia kanautafuta uprof cku hzHuyo kichwa Maji hashauriki na hajitambui kuwa ni mweupe upstairs
CCM wanakulipa sh ngapi kwa mwezi kuyaita mavi ni keki?Chahali nivichok itakuhusu
Halafu acha tabia za kike kuiga iga ,unaona mange anapaaaata ..haya soon utampiku kwa followers jitahidi