Mfumo wao wa wafanyakazi bado sio poa. Wanaleta utani wao wa zamani. Waitishe interview kila mkoa kwa ajili ya staff-teamleaders. Eti makao makuu ndio wanawaletea wafanyakazi mikoani. Soko la mawasiliano halihitaji vyeti sana. Ubunifu zaidi. Waache waendelee kuajili watoto wa mjomba watafurahi. Na kwa sasahivi walikuwa wanatakiwa waweke busy 2G na 3G kutokana na mazingira yalivyo. Wasome mchezo kama miaka 2hivi. Who tayari 4G. Watafurahi. Magu kila siku target yake itakuwa fukuza na kuweka. Pole TanzaniWanaleta mzaha sana TTCL