Serikali yaionya Kigoma Ujiji juu ya kushiriki OGP na kuitaka kujitoa mara moja. Yatishia kuvunja Baraza la Madiwani

Ngaliba Dume

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
1,710
3,669
Serikali ya Tanzania kupitia Waziri wa Utawala Bora,Capt.George Huruma Mkuchika,ameionya Halmashauri ya Ujiji kuendelea na mpango wake wakuwa ndani ya OGP wakati Serikali Kuu imejitoa.

Capt.Mkuchika amemuonya Zitto na madiwani wa Kigoma-Ujiji iliyo chini ya ACT-Wazalendo kuacha mara moja mawasiliano ya namna yoyote na wadau wa OGP la sivyo ataifuta halmashauri ya Ujiji na kuweka kamati maalumu ya kuongoza halmashauri hiyo.

Karipio hilo limetolewa na Mkuchika baada ya swali la Zitto Kabwe kutaka kujua ni kwanini serikali imejitoa kwenye mpango huo ambao ni chachu ya utawala bora.

Mkuchika kawaambia Madiwani wa Ujiji huko waliko,wamue kuendelea na OGP au kuondolewa na halmashauri kuvunjwa.

--------==============xxxxxxxxxxxxxxxxxx==============

Kauli hii imekuja wakati Waziri wa Wizara ya Utumishi na Utawala Bora, George Mkuchika akijibu maswali mawili ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe leo bungeni

Maswali ya Zitto Kabwe;
  1. Juzi rais amesema kuwa amemuandikia barua waziri kuu wa Canada kuhusiana na swala la Bomberdier, Serikali haioni kwamba iwapo Tanzania ingeendelea kuwa mwanachamawa OGP na Canada ndio mwenyekiti wa OGP swala letu lingeshughulikiwa kwa uzito Zaidi?
  2. Manispaa ya kigoma ujiji ni miongoni mwa miji 15 duniani ambayo inashiriki na OGP kwa uhuru bila kujali uwepo wan chini au lah. Serikali inatoa maoni gani juu ya hili?
Majibu ya Waziri Mkuchika;
Tanzania lifanya maamuzi ya kujitoa OGP kwa kupima vigezo na kwa namna ilivyoona inafaa na haijaiga mtu, ni tawala linalofanya maamuzi yenyewe. Sisi na Canada ni washirika wa jumuia ya madola, tunaubalozi Canada so ‘with or without OGP mahusiano yetu na Canada haiwezi kuwa tatizo. Na waziri mkuu alikuwa Canada juzi

Serikali inayotaaarifa kuwa Manispaa ya Kigoma Ujiji inaendelea kushiriki OGP lakini andiko la mradi ule linasema ‘Nchi ikijitoa washirika wote waliopo ndani ya nchi uwanachama wao unakoma’. OGP wamemuandikia waziri wa mambo ya nje kuwa inania ya kuendelea na Manispaa ya KIgoma Ujiji. Tunaionya Manispaa ya Kigoma Ujiji waache mara moja na watekeleze maagizo ya Serikali, nawakiendelea kufanya mawasiliano kama wanavyofanya sasa Serikali itachukua hatua kali Zaidi.

Naji mnajua sheria kali Zaidi kwenye ngazi ya Manispaa ni kuvunja baraza la madiwani na kuweka tume ya Manispaa

.Credit: Kunguru Mjanja

image.png

WHAT IS THE OPEN GOVERNMENT PARTNERSHIP?

The Open Government Partnership is a multilateral initiative that aims to secure concrete commitments from governments to promote transparency, empower citizens, fight corruption, and harness new technologies to strengthen governance. In the spirit of multi-stakeholder collaboration, OGP is overseen by a Steering Committee including representatives of governments and civil society organizations.

Awamu hii haiwezena na vitu design hii ...................!!
 
Back
Top Bottom