Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,902
- 13,466
Serikali ya Tanzania inapanga kutoza kodi nishati ya mkaa nchini humo. Hatua hiyo inalenga kuwavunja moyo watuamiaji wa nishati hiyo ambayo ndio inayotumiwa zaidi nchini Tanzania kwa kupikia. Fedha zitakazopatikana kutokana na kodi hiyo zitaelekezwa kwenye miradi ya uhifadhi wa misitu. Source DW Radio