Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,421
We nzige wa kijani naona upo kazini?Ulitumia siku ngapi kufuatilia, wengine tulipoona majina hayapo yanayotuhusu tukaendelea na mishe nyingine
We nzige wa kijani naona upo kazini?
Salute mkuu umetishaHata kipindi kile waliajiri walimu hewa
Huu nao ni ufisadi mwingine ndani ya serikali ya Jiwe maana wanaingia kwenye Mfumo wa mishahara wa watumishi wa umma wakati ni majina hewa"
Au ni kudanganya watu kwamba tumeajiri walimu elf4 kumbe ukute ni elf 1 .......
Hii serikali ya kupika data ni shida.......