Serikali yaagiza kufanyika tathmini nchi nzima ya kifuta machozi kwa walioharibia mali na wanyama

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,563
21,665
Wizara ya Maliasili na Utalii imeagiza kufanyika haraka nchi nzima tathmini ya ya kifuta machozi au jasho kwa watu waliouawa au mashamba yao kuharibiwa na wanyama wanaotoka hifadhi za taifa katika vijiji vinavyozunguka hifadhi hizo.

Agizo hilo limetolewa wilaya ya Namtumbo na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhandisi Ramo Makani alipokwenda kuwapa pole ndugu wa mtu aliyeuawa na tembo kutoka Hifafhi ya Selous.
13428555_989090441188631_9102527488133295505_n.jpg
 
Back
Top Bottom