Serikali ya Zimbabwe imemuondolea ulinzi Rais Mstaafu Robert Mugabe

Serikali ya Zimbabwe imemuondolea ulinzi Rais Mstaafu Robert Mugabe

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
2,905
Reaction score
4,948
Serikali ya Zimbabwe imemuondolea ulinzi Rais Mstaafu wa nchi hiyo Robert Mugabe, kufuatia kile alichokisema kuwa angepigia kura chama cha upinzani kinachoongozwa na Nelson Chamisa.
Serikali ya Zimbabwe tayari imeshawaondoa wanajeshi waliokuwa wanamlinda Mugabe kwenye makazi yake View attachment 822264
IMG_20180729_224740.jpg
 
Lkn Mugabe amenifurahisha hapa!
Nakumbuka hata mwalimu alikuwa anasema CCM si mama yake anaweza kukiacha wakati wowote kikpotea njia!
 
Back
Top Bottom