Serikali ya Zambia yafirisika

Serikali ya Zambia yafirisika

Zimbabwe ckuckia ikiongelewa hivi. Fikirieni nchi jamani co VYAMA VYENU VYA SIASA. Hivi Tanzania ikifirisika ccm watabaki matajiri, hata cdm mkilalamika wakati huo itasaidia nini. Viongozi wengi ccm wamefukuzwa Viongozi wengi cdm wamefukuzwa, sasa hapo chama gani Ni Mungu kwamba chenyewe ndo mwarobaini WA umaskini Tanzania
 
Kwa hiyo na sisi tungekuwa na Rais wa Kusema Jenga Daraja la Tegeta <-->Unguja tungemsifu hata kama lingekuwa la mita 3000... eeeh...

Du Kweli kazi ipo.... Satta hakuomba kura kwenda kujaribu kuongoza aliomba kura kama ultimate solutions kwa matatizo ya Zambia... wake up.

Mbona Kikwete aliomba kura akiahidi mambo mengi lakini mpaka sasa ametekeleza machache ina maana aliku anajaribisha uongozi? Amejenga Chuo Kikuu cha 'kiislam" Dodoma ambacho hakikuwa na maandalizi murua kwa kukopa mpaka sasa nchi inadaiwa na mifuko ya jamii wakati wafanyakazi waliochangi mifuko hiyo wakipata shida kupata mafao yao alikuwa anajaribisha? Financinga ya miaradi ya maendeleo inasuasua kama barabara ya Mtwara urefu wa kilomita 60 tu unachukua miaka zaidi ya 7 alikuwa anajaribisha uongozi? Halafu aliyeandika hiyo taarifa "According to sources, ailing dictator -Sata has committed government treasury to so many unplanned and unbudgeted projects through mere pronouncements that were meant to win political support." ameandika kishabiki kama amelelewa na CCM vile.
 
Wanasiasa ni matatizo Sata aliahidi. Ndani ya cku mia moja. Ndani ya kiti cha urais itakuwa neema ndani ya zambia.kumbe yamekuwa hayo tena
 
What does this slick guy try to insinuate,That all opposition parties should never be trusted because of Satta's administration ordeal?First of all we will be so unfair to judge him negatively and think all that nightmare had been solely caused by his administration and we don't want to exercise our brains to track down the root-cause for this financial strain,It must has its traces,The previous corrupt administrations could be responsible for this mess.Satta's administration did have all people and country's interests at heart it's just the previous administrations emptied the treasury.This will also happen in Tanzania once Kikwete and his buddies are out of power.The successor will be left with nearly nothing in treasury as Kikwete and his cronies are busy in spending our tax money unwisely in the mean time doing absolutely nothing to create new revenue sources to help the country earn more income to offset any potential budget deficit.Then you will start to blame the Successor for Kikwete's mess?
 
Mbona Kikwete aliomba kura akiahidi mambo mengi lakini mpaka sasa ametekeleza machache ina maana aliku anajaribisha uongozi? Amejenga Chuo Kikuu cha 'kiislam" Dodoma ambacho hakikuwa na maandalizi murua kwa kukopa mpaka sasa nchi inadaiwa na mifuko ya jamii wakati wafanyakazi waliochangi mifuko hiyo wakipata shida kupata mafao yao alikuwa anajaribisha? Financinga ya miaradi ya maendeleo inasuasua kama barabara ya Mtwara urefu wa kilomita 60 tu unachukua miaka zaidi ya 7 alikuwa anajaribisha uongozi? Halafu aliyeandika hiyo taarifa "According to sources, ailing dictator -Sata has committed government treasury to so many unplanned and unbudgeted projects through mere pronouncements that were meant to win political support." ameandika kishabiki kama amelelewa na CCM vile.

Two wrongs does not make a right!
 
Even if i were to tell you the source, you will doubt ut since right from thr onset you sounded like a critic of anyone opposing the Zambian government. We si uko mbali. Basi, kaa hivyo hivyo
 
If you want to be getting first hand infor, go to the link. https://www.facebook.com/ZambianWatchdog

Anyway, you can choose to attack me instead of the post, its fine but the reality is being felt on the ground by people with the eyes and brains to see.
DFID has also acknowledged that there is a budget deficit in Zambia
 
Serikali mpya ya Zambia ilipoingia madarakani, nilisifia sana hapa hapa JF msimamo wake wa kizalendo na wengi wenu mulikuwa na mashaka nayo. Nilikanusha vikali... Sasa someni hapa.

President Michael Sata’s government is really running broke with financial resources after exhausting all the money on grand projects meant to appease electorates in various parts of the country in order to win votes, sources at Ministry of Finance and Bank of Zambia have disclosed.

According to sources, ailing dictator -Sata has committed government treasury to so many unplanned and unbudgeted projects through mere pronouncements that were meant to win political support.

“Can you imagine this man was just waking up like God during the creation of the earth and would say I want a road, a stadium, a university, a school, a hospital, a district here and there without consultation with the government treasury and expected those things to merely emerge or germinate like plants using rain water,” sources said.

Sources said Mr. Sata has really put a huge strain on the government treasury and most of those projects may actually never be finished resulting in having a country that will have so many incomplete buildings and roads or some that will be highly compromised due to incomplete or poor construction.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Huu ni umbeya sasa mbona tuna matatizo makubwa.
 
Bora serikali ifilisike kwa sababu ya kuanzisha miradi mbalimbali ya maendeleo, kuliko kufilisika kwa watu kuchota/kuiba ela na kwenda kuzificha u-swiss kama afanyavyo JK na rafiki zake...
 
Back
Top Bottom