YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,003
Makubaliano ya kuunda serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar hayana nguvu kisheria wala kikatiba kwa sababu yalifanyika chini ya mwembe.Hayamo ndani ya katiba ya Zanzibar wala kwenye sheria ya tume ya Uchaguzi ya Zanzibar.Kuunda hiyo serikali ya umoja wa kitaifa ni hiari si amri ya katiba.
Dk.Shein unda serikali ya wana CCM watupu
Dk.Shein unda serikali ya wana CCM watupu