Serikali ya Sudani yavunjwa. Jeshi kuendesha nchi

Walioomba kujiunga na jumuiya ya Afrika mashariki ni South Sudan sio hao wa Khartoum
Ingawa sijasikia kama Sudan na wao wameomba kuwa wanachama wa jumuiya ya Afrika ya Mashariki, but Sudan ya kusini tayari ni mwanachama wa EAC muda mrefu sasa. Ninachojua ni Somalia ndo wameomba kujiunga na juzijuzi Congo DRC na wao wameonesha nia wakati rais wao alipotembelea Kenya.
 
Hahaha --mshamba wawapi !?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wewe unayejiita Einstein siyo ushamba huo ni kitu gani? Mtu ambaye hoja yako ya msingi ni dharau kwa wengine kwa kuwaita washamba huwezi kujijengea heshima kwa wale ambao hujawaita washamba.
 
Sudan waliomba kujiunga kabla hata ya South Sudan wakakataliwa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu baada ya utengano wa sudan na sudan kusini nchi iliyokua imara ni sudan na wakaomba kujiunga lakini ikaonekana kama kiutamaduni na kijamii na ukaribu wako mbali sana na wanajumuia wa afrika mashariki. Sudan kusini ilikubaliwa kwa sababu inafanana mambo mengi na nchi za afrika mashariki lakini pia kwa sababu ya ulinzi sababu sudani kusini haikuwa na nguvu baada ya kutengana na waarab wa sudan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…