Serikali ya Samia, awamu isiyotaka kusikia neno haki

Serikali ya Samia, awamu isiyotaka kusikia neno haki

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,026
Reaction score
2,106
Wako tayari wakuue wanapokusikia unataka haki. Wao wanaamini Amani ndio kila kitu lakini si kukupa HAKI.

Wanalinda AMANI kwa kuua hata raia ambao hawataki viongozi wabaya. Wanalinda AMANI kwa kufukuza au kuhamisha wafanyakazi wanaopinga upigaji ndani ya miradi ya maendeleo. Wako radhi WAUE mji mzima mtakapoinuka kudai HAKI kwa kisingizio mnaondoa amani.

Na kwa sasa WANANCHI mjue kua hamna jeshi lililo upande wenu kutokana na HONGO wanazopewa na VIONGOZI ili kulinda hiyo amani hata kwa kumwaga DAMU ya ndugu zao.

235330.jpg
 
ACHA KUCHAFUA SERIKALI YETU TUKUFU . PUNGUZENI CHUKI NA KULALAMA. HATA ANGEKUJA NANI , TANZANIA HAMJAWAHI KUMPENDA KIONGOZI ALIYEKUWA MADARAKANI, MWACHENI MAMA WA WATU AMALIZE MIAKA YAKE , MTAMCHAGUA MNAYEMPENDA. KILA ANAYESIMAMA KAMA RAISI , KAMA KAWAIDA LAZIMA ACHAFULIWE . SI MPYA TANZANIA
 
ACHA KUCHAFUA SERIKALI YETU TUKUFU . PUNGUZENI CHUKI NA KULALAMA. HATA ANGEKUJA NANI , TANZANIA HAMJAWAHI KUMPENDA KIONGOZI ALIYEKUWA MADARAKANI, MWACHENI MAMA WA WATU AMALIZE MIAKA YAKE , MTAMCHAGUA MNAYEMPENDA. KILA ANAYESIMAMA KAMA RAISI , KAMA KAWAIDA LAZIMA ACHAFULIWE . SI MPYA TANZANIA
Hapa suala si kupendana bali ni kutenda haki. Mpende ww, sisi tunataka haki.
 
Serikali ambayo inataka kufanya kila kitu cha hovyo bila kukemewa wala kuingiliwa,kwa kisingizio cha kutaka kuharibu amani, alafu wafanye maovu yote, Maaskofu wakitoa waraka wanasema wana chuki nao kama hawampendi wamuache tu amalize muda wake, yaani unakosea mtu anakusahihisha then unasema wana chuki na wewe,kwa hio uwe free kufanya ujinga wote watanganyika wakikitazama tu bila kufanya chochote
 
This is a spiritual war. The line drawn is very clear.

Unakuta mtu anatokwa misuli kutetea wezi , wauaji , wabakaji, wafiraji, madikteta wachukua madaraka kinguvu,

Huku akiponda victims na watetezi wao wanaojaribu kujinasua kutoka kwenye ubagazaji na ubanganaji na utinginyaji wa hawa roho waovu...

Ukiona mtu anawatetea hawa roho waovu jua tu ni roho chafu at work.

Tanzania iko chini ya nguvu za giza, thanks to all who chose to remain neutral on October 29 instead of actively rejecting these demons.

I believe this is until Jesus returns, which is soon.

There is no new Tanzania, do not be deceived.

What is coming is the great tribulation.
 
Back
Top Bottom