Serikali ya Rais Samia kwa Kuiingilia TFF na Kubadili ghafla 'Schedule' ya 'Derby' ya Simba na Yanga Amani ikitoweka 'Kwa Mkapa' leo mtawajibika

Ungeweza kuwasilisha point yako kuwa bora zaidi pasi na kutumia lugha ya kukeresha au kebehi na matusi vinginevyo unaonekana kuwa no mtu wa fujo tuu.
Usinipotezee muda Hayawani ( Juha ) Wewe. Kama unaijua hiyo Lugha nzuri unayoisemea hapa si ungeitumia na Wewe kuanzisha Uzi wako? Wewe ni nani wa Kunipangia cha Kuandika hapa?
 
Back
Top Bottom