Serikali ya Msumbiji imesema viongozi wa Kundi la Kigaidi waliouawa nchini humo ni Watanzania

Msimamo wa kutotoa taarifa za korona unaendelezwa na huku sio?!

Basi sawa kama lipo ndani ya uwezo wenu..
 
Hawa magaidi hutokea ndani ya jamii zetu, ni ndugu jamaa na marafiki zetu, na mara nyingi ni watu wenye msaada mkubwa sana kwenye jamii wanazoishi hasa kifedha na huduma zingine za misaada kwa jamii, ndugu jamaa na marafiki. Hivyo kukabiliana nao ni kazi kubwa sana sababu jamii nyuma inakuwa nyuma yao katika kuwalinda.

ndio maana Tanzania iliamua kuwafanya jamaa wa kibiti kama Sri Lanka ilivyowafanya jamaa wa Tamil tiger.
Mafanikio ya oparation hizi mbili zenye mafanikio makubwa kulinganisha na kote ambako hawa jamaa hufanya huu uhuni wao, labda ukiongeza na ufilipino ni kufumba macho na kuua, ikiwezekana kuua raia yeyote anayezagaazagaa eneo la hatari.

Ndio maana huwa sisemi sana juu ya azory gwanda, sababu kiuhalisia alikuwa sehemu ya hatari nyakati za hatari.
Ongeza nyama kidogo hapo kwa Azory, japo umesema utaki kuongea zaidi kuhusu yeye.

jamaa alikuwa pande mbili nini?
 
Duu! Msumbiji wanasema magaidi ni watanzania, Na huku kwetu nako IGP Sirro anasema magaidi 300 wa Msumbiji wamevamia miji yetu, sasa hapa nani mkweli!?
Au ndo wale wanaoitwa wasiojulikana wanajipika huko??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom